Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Kwa wale wa nyimbo za country tukutane hapa, liwe jukwaa la kushirikishana mambo mbali mbali yahusuyo Music huu ikiwa ni pamoja na kushare nyimbo zenyewe wale wenye hisia za aina hii...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wengi wanauchukulia mziki wa hiphop kama mziki wa wahuni ila ni moja kati ya miziki yenye facts nyingi compared to other kinds of music. Wasanii wengi wa hiphop wana IQ kubwa. Kusikiliza hiphop ni...
4 Reactions
111 Replies
21K Views
Wakuu heshima yenu, Nowdays kumekuwa na tabia kubwa sana ya wasanii wa kileo wa Bongoflavour nyimbo zao nyingi wanazotoa ni sex song na sio love songs,nyimbo nyingi zinazungumzia jinsi ya kufanya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wapendwa habarini za jioni/usiku. Naombeni msaad wa namna ya kuipata muvi ya san andreas ya tetemeko la ardhi iliyokuwa inamhusisha dada aliyeanguka kwenye bonde la san fernando california then...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya muda huu ndugu, jamaa na marafiki. Naomba msaada kama kuna mtu ana wimbo tajwa hapo juu wa Drake. Nmejaribu kuutafuta YouTube lakini nimekutana na cover tupu. Shukurani Sent using...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
Unaikumbuka movie maarufu ya Kihindi inayohusisha kijana masikini mwenye akili sana aliyetekwa na familia maarufu ya kitajiri kusoma kwa niaba ya kijana wao? Ndio, ile movie maarufu sana ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kucompare watu maarufu si kitu kibaya, mara nyingi ni kuangalia mazuri na kuyaendeleza na yale mapungufu kuyarekebisha. Kwenye suala la hadithi(riwaya) za magazetini, mimi nilijitahidi sana...
3 Reactions
140 Replies
54K Views
Kuna movie niliangalia miaka kidogo imepita ila jina siikumbuki, naomba nisimulie kidogo story kisha kwa atakaeweza ifahamu naomba anisaidie kukumbuka jina la movie. Story inaanza (ntasimulia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wakuu, Katika miaka ya 2015, nimekuwa nikifuatilia Series moja inayokwenda kwa jina la FRINGE. Ni season kali sana ambayo sijawahi kuona tena kwa upande wa Series za kisayansi. Hii ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama tittle inavyosema na ni kwanini Hiyo thriller movie kwako ni best?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Napendelea sana kuangalia movie na series za commedy na baadhi ya series commedy nashauri wapenda commedy wenzangu waziangalie (hapa nitataja kumi bora tu) 1. Friends 2. Seinfeld 3. The Big Bang...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Jamani kuna wimbo wa bongo flava unakipande kinaimbwa "hivi ni nini kimefanya unipendeee, unazidi kunipa mawenge" nimeutafuta bila mafanikio. Msaada plz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
938 Views
Nduguzanguni naombeni horror movie (movie yakutisha) ya kizungu yenye maudhui kama Final Destination. Sitaki iwe na maudhui ya zombie, vampire au kishetani.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wazee dude hilo Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Wimbo huu unapigwa hapa Turin italy muda huu karibu na piaza navo Ekwuemeeeeeee ekwueeeeme Kweli afrika ipo siku itatawala dunia.
0 Reactions
2 Replies
833 Views
Hawa jamaa wa Block 89 ya Wasafi wanaongeaga vitu vingi sana hawavijui! Too much lies! Story za Kobe (wao wanamuita Kobe na sio Kobi) zimepotoshwa sana kuhusu basketball. Most of them are...
13 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari wanajamvi Mimi sio mwandishi mzuri ila kuna kitu nimeanza kukiona kwenye hii Media mpya ambayo ina msemo "Hii ni ya kwetu sote". Ukweli ni kwamba siku hizi hii media imeanza kususa kabisa...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii ndio sura ifuatayo, kusema heri mfalme wako oh (Ekelamu ya se, kumisa nde mokonzi yo oh ) Viumbe vya ulimwengu, msifu Mungu badala yake (Worldly creatures, praise God instead) Hii ndio...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Rapper ROSA Ree Atoa Wimbo Mpya Unaoitwa "Balenciaga" Tazama VIDEO Hapa Mambo ya Vitamini Uuuuuuuuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…