Msaada: Namna ya kuipata movie ya San Andreas ya tetemeko la ardhi

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,655
1,766
Wapendwa habarini za jioni/usiku.

Naombeni msaad wa namna ya kuipata muvi ya san andreas ya tetemeko la ardhi iliyokuwa inamhusisha dada aliyeanguka kwenye bonde la san fernando california then anaokolewa na helicopter.
link ya kipande cha muvi

 
Nimeiangalia Jana tu! Inauongo wa kuvutia! Magorofa yanaanguka utadhani yanasadiki ule usemi ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni!!.. ila kale katoto ka kike kazuri sijui ntampataje😜
Lile jamaa domo zege mpk kuomba namba linasaidiwa na dogo lake!! Sijui halijui kuna watu bahati za wenzetu tunazikalia mlango wazi!!
 
Back
Top Bottom