Bongo hiphop mistari ninayoikubali

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
1,366
2,000
Wengi wanauchukulia mziki wa hiphop kama mziki wa wahuni ila ni moja kati ya miziki yenye facts nyingi compared to other kinds of music. Wasanii wengi wa hiphop wana IQ kubwa. Kusikiliza hiphop ni kupata burudani huku unagain uelewa. Japo sio kila muziki wa hiphop unafacts nzuri ila asilimia kubwa ina facts. Hii ni baadhi ya mistari inayonifanya nizidi kuipenda bongo hiphop

-Kupata washikaji ukiwa na pesa ni rahisi kupata, na huna kitu ujuwe umefanikiwa kichizi mie sikufichi by Fid q

-Sio kila young ni killer uwezo utajieleza na sio kila sharobaro imeandikwa atafia muheza By Young killer

-Sina imani naye namchukulia father mkatili na sasa wakati wa kudozi anatutazama sehemu za siri By Domokaya

-Amani kwa kaka Voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea By Jaymoe dedication to Langa

-Msinilaumu mlipata pesa mkacheza kama tundaman sijui hata wapi alipowekeza by Nikki mbishi.

-Chongo ushukuru mungu anapomuona kipofu maMC wa uongo hawana gundu wana hit na ngoma mbovu by Fid q.

-Chuki aliyekufunza nani huzaliwi nayo unajikuta unayo ukubwani by Fid q.

-Mapendo daima ile kikatoriki mapenzi ya pesa sina kitu je ntapendwa kwa kipato kipi by Nikki mbishi.

-Mchizi sikusoma naye tulikutana tu mtaani udogoni sikucheza nae ye ndo mchizi wangu wa ukubwani.

-wengi nawasikitisha sijui nita retire lini kisa nimekuwa mkali zaidi ya walioniinspire Mimi sijui nitaexpire lini ndo kwanza mwanzo wa kutisha nawapanda kichwani na wananipa siti ya dirisha by youngkiller.
 
MastaKiraka

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
1,435
2,000
Msanii: Chindo man (umbwa mzee).
Wimbo: Bidii zangu.

Wanaharakati mtaa wameuliwa na zombe/
Serikali imewatupa wapiga kura njombe/
Jamii inageuka manyang'au usiombe/
Je, unafikiri utaidanganya kwa pombe?

Msanii: Hashim Dogo
Wimbo: Shadow of the dark destiny

Hivi vitu viko wazi kama vazi la kahaba.

Msanii: Hashim Dogo
Wimbo: Tunasonga

Makamanda magwanda au bila magwanda/
Nakatisha kwenye shamba la pamba/
Huku nikijiuliza kwamba/
Tatizo ni nini? Viwanda au umasikini?
Mbona tuna madini, ona nasema nini.Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwaki pesile

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
301
500
Wengi wanauchukulia mziki wa hiphop kama mziki wa wahuni ila ni moja kati ya miziki yenye facts nyingi compared to other kinds of music. Wasanii wengi wa hiphop wana IQ kubwa. Kusikiliza hiphop ni kupata burudani huku unagain uelewa. Japo sio kila muziki wa hiphop unafacts nzuri ila asilimia kubwa ina facts. Hii ni baadhi ya mistari inayonifanya nizidi kuipenda bongo hiphop

-Kupata washikaji ukiwa na pesa ni rahisi kupata, na huna kitu ujuwe umefanikiwa kichizi mie sikufichi by Fid q

-Sio kila young ni killer uwezo utajieleza na sio kila sharobaro imeandikwa atafia muheza By Young killer

-Sina imani naye namchukulia father mkatili na sasa wakati wa kudozi anatutazama sehemu za siri By Domokaya

-Amani kwa kaka Voda millionaire waambie wadogo zako waache poda wale mmea By Jaymoe dedication to Langa

-Msinilaumu mlipata pesa mkacheza kama tundaman sijui hata wapi alipowekeza by Nikki mbishi.

-Chongo ushukuru mungu anapomuona kipofu maMC wa uongo hawana gundu wana hit na ngoma mbovu by Fid q.

-Chuki aliyekufunza nani huzaliwi nayo unajikuta unayo ukubwani by Fid q.

-Mapendo daima ile kikatoriki mapenzi ya pesa sina kitu je ntapendwa kwa kipato kipi by Nikki mbishi.

-Mchizi sikusoma naye tulikutana tu mtaani udogoni sikucheza nae ye ndo mchizi wangu wa ukubwani.

-wengi nawasikitisha sijui nita retire lini kisa nimekuwa mkali zaidi ya walioniinspire Mimi sijui nitaexpire lini ndo kwanza mwanzo wa kutisha nawapanda kichwani na wananipa siti ya dirisha by youngkiller.
“....NIKAMATENI si mlishindwa Tibaijuka, leta difenda, leta Wajeda, leta Wagambo, Roma nimejitoa sadaka..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rashford Lingard

JF-Expert Member
Feb 9, 2018
908
1,000
"wanga tulieni basi kidogo UKIMWI unatosha, Kuturoga mturoge, ngoma itungoje, matumbo mtuvimbishe" MH.TEMBA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom