Guacamole
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 6,116
- 16,173
Habari wakuu,
Katika miaka ya 2015, nimekuwa nikifuatilia Series moja inayokwenda kwa jina la FRINGE.
Ni season kali sana ambayo sijawahi kuona tena kwa upande wa Series za kisayansi.
Hii ni both scientific na ndani yake iko dramatic vile vile. Inajumuisha mambo yote ikiwemo pia Time Travel.
Kama hukuwahi kuicheki na ni mpenzi wa TV Series za namna hiyo, basi fanya fasta uitafute.
Ukiacha hiyo, kuna nyingine kama THE LAST SHIP, NEW AMSTERDAM, etc.
Kama unajua kuna series nyingine za aina kama hizi naomba ushare hapa na ikiwezekana utoe info kidogo kuhusiana na hiyo.