Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hellow! Natumai mko poa ndugu na mnaendelea kujikinga dhidi ya Corona. Na mimi katika nafasi yangu, naendelea kuwaletea mambo kadha wa kadha kuhusu filamu kama moja ya njia ha kuhamasishana kukaa...
20 Reactions
64 Replies
9K Views
SCRIPT ZA IMA. SEHEMU YA KWANZA. TITLE:FIMBO YA MBALI. MTUNZI: IMA WA JONI A.K.A MSANII JOTO LA MOTO. TEL.0788 135 198. OFISINI KWA RAY-JIONI. Ray na Hemedi, vijana watanashati, Ray...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Natafuta season ya kifilipino inaitwa darating Ang Umaga au (till morning is come) nimetafuta mtandaoni sijawahi kuipata nifanyaje ili niweze kuiona tena. Iliwahi kuonyeshwa Star tv
0 Reactions
2 Replies
637 Views
Mzee kasema tujiandae kupiga shangwe, basi tujiweke sawa. Leo nipo na Wasafi Media, kuna machache kati ya mengi siyaelewi tusaidiane kuwaweka sawa. Kuna mifano michache ya ‘Vipindi’ ama ‘shows’...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mi tangu nimeamka ni hizi Matatizo..juma nature ft jay dee Maji ya shingo..daz nundaz Sema...mr blue G code...gheto boys No scrub..tlc Do you...neyo Usher..burn Hate me...nas
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Msanii wa filamu nchini, Adam Kuambiana, amefariki dunia ghafla leo hii asubuhi baada ya kuzidiwa akiwa hotelini na kupelekwa kwenye hospitali ya Mama Ngoma. Kwa sasa mwili unanahamishiwa...
0 Reactions
22 Replies
12K Views
Wadau nimeangalia movie ya Alpha ya 2018 kuhusu maisha ya watu wa kale kabla dunia haijastaharabika Jinsi walivyokuwa wana survive na mazingira magumu Je unaijua movie yoyote inayohusu watu wa...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
  • Poll Poll
Ikiwa ni siku chache tangu filamu mpya ya Jb ya MAHABUSU aliyotengeneza ambaye muigizaji mkubwa katika filamu hiyo akiwa Director, Actor na mzee wa mingi marehemu Adam Kuambina, Jb amejikuta...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya wasanii hasa wa muziki kwa kukosa kufanikiwa aidha kwa kutofuata kitu ambacho soko linataka au kwa kuwa na dharau kwa washika dau wamekuwa wakiishi bila mafanikio ya kupata pesa...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
IMEANDIKWA NA:GEORGE IRON MOSENYA SEHEMU YA 1 IMEANDIKWA NAYE: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA Maisha wakati mwingine si jitihada pekee zinazoweza kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, kuna...
5 Reactions
180 Replies
64K Views
Ninachompendea Stephen King ni ule uwezo wake wa kuandika visa tetemeshi sana kutokana na wazo la kawaida mno - wazo ambalo mara nyingi watu hawalifikirii mpaka walisome kutoka kwake. Sasa kwenye...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau wa Play Station (PS 4) FIFA 18 or 19 tujuane hapa.
0 Reactions
3 Replies
782 Views
Mwenye nyimbo ya MB Dogg inaitwa Tip Top ft Tip Top connection ya 2005 kama. Mwenye hiyo nyimbo msaada
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Vipi mchizi wangu nakuona umesizi, unaonekana kama moyoni una majonzi, au dili zako leo haziendi sawa? jinsi unaonekana kama moyoni umepagawa! niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe, kwani...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Wadau wa nyimbo hasa zilipendwa kama Msondo,Sikinde,Marijani, Mbaraka,Les Wanyika nk ni tovuti (web) gani nzuri nitapata hizi nyimbo bure.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habarini za wakati huu, Nmekuwa nikicheza Pes for Pc kwa muda mrefu sana lakini je ni kwanini player akiwa HOME anakuwa na nguvu, speed na accuracy sana? Kuna jamaa nikicheza nae ikiwa yeye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwaaliewah kuiona tafadhal nisaidie
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Mariooo ni miongoni mwa vipaji vipya vyenye potential ya kutosha ndani ya Bongoland, kijana huyo mwenye kipaji cha hali ya juuu aendelee kupasuaa mawimbi ya soko la Bongofleva baaada ya hapo jana...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI SEHEMU YA KWANZA Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na...
3 Reactions
23 Replies
19K Views
SCOLASTICA TEMU MTUNZI: INNOCENT NDASANYE NAMBA: 0755 040 520 “KWA nini iwe hivi?” msichana huyu mrembo, Scolastica Temu alijikuta akijiuliza swali hilo mara nyingi huku akiwa chumbani peke yake...
2 Reactions
210 Replies
36K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…