Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wadau habarini za saa hii, kuna wimbo fulani nimekua nikiutafuta kwa muda mrefu YouTube bila mafanikio kutokana na kwamba sifahamu jina la wimbo huo ila naifahamu baadhi ya mashairi yake. Wimbo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukiachilia mbali mafanikio mwanamuziki pekee hasa katika hiphop ambae hajawai kuchuja ni Mr Blue. Huyu jamaa ni noma anajua anachofanya na ukijaribu kumshirikisha kakufunika mfano ule mwimbo...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
WCB napenda kama zote hivi ila chache za Lavalava. Queen Darleen zizijui kabisa nisiwe muongo. Usiende Mbali by Juliana Kanyomozi Posa ya Bolingo by Alicios Theluji Mpita Njia by Alicios na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla ya kujibu nakupa mda uingie youtube hakika ndugu ukiwa na stress ndugu ingia youtube uangalie tu utasuuzika mtima Karibuni dude hilo wazee
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Kuna mistari inasema "Nimwage Wese,Unesenese Kwenye Rungu la komredi kipepepe" Wazee hapa jamaa alilenga maudhui gani? Nyimbo za siku izi bwana!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia? Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Hawa wana wanajua haswaa! Acha tuwape sifa zao! Asiyekubali ni mchawi,tena mwanga, tena yule mwanga anayewanga mchana[emoji851]. Hili goma ukilisikiliza linatoa mikosi yote, linaponya mapunye...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu wimbo mpka Mh.Magufuli alipimgia simu Mwana FA kwa mashairi yake.. Chorus "We ni dume suruali kaa mbali nami,mbali nami Kama dume suruali kaa mbali nami,mbali...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
1.THE ONE ya Jet Li. 2 THE MASTER, Jet Li. .3.PRIDATOR, Anord Komando John. 4. SALT Julie Robert. 5. THE ROCK. Rambo
0 Reactions
86 Replies
23K Views
Basi kama vipi Chege twende Moro, aaah haya! Haina noma Y-P basi twende Moro, aaah haya! Haina noma baby nitakuja Moro, cool dear! Ila subiri kwanza nichonge na masela, cool dear! Kama...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa. Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu. IDENTITY ya 2003...
13 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari wana jamii forum. Kiukweli hili halina ubishi wakuu. Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika. Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu mpo Jamani nimetafuta huu wimbo hadi nimechoka. Mwenyewe nao nauomba please.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
SIKU NIKIPATA DEMU. Nasema kinywa kipana , sasa nihofie nini, Tena nasema kwa vina, kweli kutoka moyoni, Maneno yatapangana , nitanadi hadharani, Siku nikipata demu , ulimwengu utajua Mbona...
2 Reactions
3 Replies
757 Views
Mfano ;- 1. Mungu Ibariki TANZANIA 2. Tanzania Tanzania Nakupenda 3. Tazama Ramani Utaona Nchi Nzuri 4. Sisi Tunataka Kuwasha Mwenge na Kuuweka KILIMANJARO Nani anajua historia ya hizi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.🔥🔥 Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa...
7 Reactions
44 Replies
7K Views
MIAKA SABA BILA LANGA RAFIKI #MKULUNGWA SIO PANTHER KAMA WAO
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Weekend tulivu, Mwalimu John kapozi zake Huku akifuafua vijisarawili vyake viwili vitatu kuisindikiza. Akiwa bize kufua na kule simu inaita, kuitazama Namba ngeni. Anaipokea taratibu sauti...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…