Reggae: Kati ya Dennis Brown, Gregory Isaacs na Lucky Dube yupi alikuwa fundi zaidi?

son of a teacher

JF-Expert Member
Jul 30, 2017
515
1,364
1. Dennis Brown

2. Gregory isaacs

3. Lucky Dube

Wadau wa Reggae hivi kati ya hawa wasanii waliotamba katika vipindi vyao yupi unamuweka kwenye level ya juu naombeni msaada.

images.jpg
images%20(2).jpg
images%20(3).jpg
 
Dube aheshimiwe aisee asifananishwe na hao wasiojulikana
BOB MARLEY:"Dennis Brown ndio mrithi wangu,ndio msanii anayenivutia na kumpenda

Dennis brown anaitwa crown prince kwenye reggae ndio nickname aliyopewa sababu dunia ilitegemea ndiye mrithi wa Bob Marley king mwenyewe

Damian marley mtoto wa Bob:"Kama wanasema Bob marley ndio king wa reggae basi Dennis brown ndio Crown prince wa reggae nakumbuka baba yangu alikuwa anasikiliza nyimbo zake mara kwa mara nyumbani.

Sasa kwann unasema hajulikani na umemshusha hivyo?

Ndio maana kwenye tittle nikasema wadau wa Reggae kama huwafahamu Dennis na Gregory basi reggae huijui nikama vile useme BIG, 2 pac, Dre, Snoopy huwajui kwenye tasnia ya hiphop.
 
Mkuu huyo unayemjua anangoma gani zilizohit kuzidi DUBE? tutajie zilizohiti world wide
 
Gregory Isaacs mkali sana kwenye sweet reggae au lovers rocks. Ngoma kama

Night nurse
Cool down the pase
Not the way
My one and only
Private beach party

Huyo James Brown yaani niwe mkweli pamoja na kupenda reggae kote leo ndo namsikia mara ya kwanza.

Lucky Philip Dube, yeye alicheza nyanja zote na muziki wake una vionjo tofauti sana na roots nyingine, hakuna mtu namkubali kama Dube asee.
 
BOB MARLEY:"Dennis Brown ndio mrithi wangu,ndio msanii anayenivutia na kumpenda

Dennis brown anaitwa crown prince kwenye reggae ndio nickname aliyopewa sababu dunia ilitegemea ndiye mrithi wa Bob Marley king mwenyewe

Damian marley mtoto wa Bob:"Kama wanasema Bob marley ndio king wa reggae basi Dennis brown ndio Crown prince wa reggae nakumbuka baba yangu alikuwa anasikiliza nyimbo zake mara kwa mara nyumbani.

Sasa kwann unasema hajulikani na umemshusha hivyo?

Ndio maana kwenye tittle nikasema wadau wa Reggae kama huwafahamu Dennis na Gregory basi reggae huijui nikama vile useme BIG, 2 pac, Dre, Snoopy huwajui kwenye tasnia ya hiphop.
Mkuu swali lililoulizwa hujaelewa?
 
Nilivyoona jina lako sikupata shaka nilijuwa utatoa hoja ya kibabe na utaongea kiufundi,nikupata kiongozi vilivyo

Ni dennis sio james
 
Mpk whitney houston na wyclef wanatunga nyimbo dedication kwa Brown,wasanii wa reggae kutoka Uingereza waliungana kutoa nyimbo dedication kwa Brown baada ya kifo ,marekani siku ya msiba wanaweka concert kubwa ,huyo Gregory ngada ndio ilimfelisha ila kote europe,USA kachafua wanamuweka kwenye top 4 tatizo watu wanawajua Bob Marley, lucky dube tu ..ndio maana wanawachukulia poa hawa watu ambao wanakubalika worldwide
kweli mkuu
 
Back
Top Bottom