Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 60,274
- 71,568
Mwenye kujua historia ya kundi tajwa hapo juu tafadhali hebu atujuze. Kuna wakati niliwahi kumuona Mzee Onjwangi km amebadilika yaani c yule wa zamani,kuna watu kama Mama Kayaii, Mwara n.k. Nikundi zuri sana kwa uchekeshaji nadhani itv walikuwa wanarusha kipindi hiki lakini kwasasa sikioni. Msaada kulijua kundi hili.