Kwa Wapenzi waliokuwa wanaikubali mfululizo wa Harry Potter 1&8

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Habari Wanajamii Natumaini tu wazima,

Leo nimeikumbuka sana zile movie za harry Potter niliziona kitambo sana Star wa Mfululizo wa hizo movie akiwa Daniel Radcliffe kama nimepatia Mzee wa [Escape from Pretoria] akiwa na binti Emma Watson mkali wa [Beauty and the Beast].

Yule Mwingine aliekuwa ana nywele nyekundu jina lake Ron ila la jina la Uhalisia nimelisahau na Japo kazi zake zingine itabidi nizicheck,

Ila Movie za harry Potter zilikuwa Nzuri sana mule ndani Kulikuwa na Fantasy/ Adventure/horror, imladi utamu wa movie uupate uhondo sema Mwishoni kwenye sehemu ya 8 Wameshazaa na watoto mimi kiliniboa kitu kimoja,

Mimi nilijua Harry Potter atamchukua yule Hermione ndo awe mke wake lakini haikuwa hivyo Ron ndo akabeba mzigo, Harry Akachukua kale kabinti kengine lakini ndo hivyo Scripts labda ndo ilivyotaka hivyo.

Karibu na wewe mdau maoni yako
 
Katika kitu nimejifunza kuheshimu ni Playlist ya mtu na muvi anazopenda hua siingilii wala kumkosoa. Muvi za waingereza are full of imagination.

Next stop hapa itakua ni 'Fantastic Beasts and Where to Find Them' na 'Fantasitc Beasts: Crimes of Grindelwolf'
 
Ndio najua tupo chungu kimoja wote mdau 😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom