Kuna movie moja niliiangalia miaka ya 90 ikihusisha mapambano makali yenye mbinu za hali ya juu kabisa za kijeshi.....
Ilifikia hatua Staring wa hiyo movie ambayo nimesahau jina lake alitamka...
KIDAWA (sijivunii Uchawi)
Kipande cha 1
Na Gaooh
Simu=0654387935
Nawakaribisha wote kwa pamoja kusoma simulizi
hii ya kuvutia.
Katika makuzi yangu sikuwahi kumuona baba wala
mama, sura pekee...
Baada ya alikiba kutoa diss track yake inayokwenda kwa jina la mediocre.
Ikielezwa kwamba ni dies kwenda kwa diamond...
Sasa mlengwa mwenyewe yaani diamond ametoa track yake inayokwenda kwa jina...
Sikiliza kwa makini wimbo huu, namna maudhui, sauti na mpangilio wa vyombo ulivyofanyika. Je mziki huu wa kibantu unafeli wapi against Bongo fleva?
Yaani mziki wa namna hii kwa nini unashindwa ku...
Kila kitu hapa ulimwenguni ni art na hii kazi ya arts ina kiwango chake. Hata mambo ya usalama ni kazi ya sanaa iliyojaa watu wa level tofauti. Kuna mjamaa mmoja alitumwa na boss wake kumfuatilia...
Kuna mbingu, na Kuna ardhi. Muziki wa Reggae umekuwa ukiheahimika duniani kote kwa maudhui yake maridhawa yaliyobeba ujumbe mzito wa kiukombozi na kuleta watu pamoja.
Muziki wa sengeli ni muziki...
Habari zenu, nimekuja tena ndugu yenu kwenye riwaya hii fupi ya UNA NINI MELISSA? Nashukuru kwa wale wote waniungao mkono, wajuazo raha zilizo ndani ya story tamu. Haya sasa tufunge mkanda...
Jukwaa la wasanii katika kampeni za CCM limezidi kuimarika baada ya kuongezeka msanii wa nyimbo za Injili Rose Mhando.
Rose amekuja na wimbo mpya wa kampeni "Magufuli Tubebe"
Siasa ni sayansi...
Kiukweli kuna kipindi bahati inachangia kwenye maisha ijapokuwa utaweza kuwa na kipaji. Mfano halisi ni huyu Producer Luffa
Jamaa ni talented sana ila hana bahati.
Inasemekana pale switcher...
Habar wakuu,! Bass guitar pamoja na combo yake vinauzwa kwa pamoja. Being ni laki tano(500000). Combo ilikuw inatumika kwa askofu Gwajina haina tatizo inagonga muzki mzito unaotak ila kwa nyuma...
Hii nyimbo mpya ya Alikiba ni Diss track ?...
Kwa maana rahisi ya kamusi Mediocre ni 'ya kawaida' 'wakaida' 'wa wastani' yani hujafika kwenye good ila ishatoka kwenye bad yani unajitahidi.
Nani...
Nyimbo ya Alikiba imeweza kushika Namba Sita kwenye chat ya nyimbo Bora za Africa
Alikiba ndio Msanii pekee Alie kwenye chat hiyo kwa ukanda wa East Africa Ameweza kuonyesha kwa kiasi Gani yeye...
Nadiriki kusema mwaka huu na mwaka kesho na kuendelea hakuna video itayokuja kuwa Kali zaidi ya hii ya Harmonize mpaka kesho.
Director hanscana ni muuaji mnoo yaani kitu kipo kama movie quality...
Masaa machache tangu video ya mwanadada queen wa WCB kuwekwa youtube huko tayari imekuja kumtoa mtu pale juu.
ZUCHU FT DIAMOND PLATNUMZ - Litawachoma
Alafu unajua nini?? Eti kuna watu TWAWAKERA😀...
Habar wana JF
kwa wakubwa, Shkamooo!
Jioni ya leo katika pita pita zangu nimekutana na kijana yupo anasikiliza huo wimbo kupitia simu ake (****mbele kwa mbele) kweli nilimtizama kwa hasira sana...