1 trending Tanzania (hii ni nafasi ya WCB kwa nini mjisumbue kushindana nao?)

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,701
9,934
Masaa machache tangu video ya mwanadada queen wa WCB kuwekwa youtube huko tayari imekuja kumtoa mtu pale juu.

ZUCHU FT DIAMOND PLATNUMZ - Litawachoma

Alafu unajua nini?? Eti kuna watu TWAWAKERA😀 na LITAWACHOMA sana wavimbe wapasuke.

MAMEDIOCRE nyie! msio mpenda kaja tena.

WCB 4 LIFE.
 
Siku alizokaa zinamtosha kabisa, tena ashukuru Mungu kwa nafasi ya upendeleo anayopata Kwan kwa hizo trash 🗑️ anazotoa astahili kuingia hata trending youtube videos
 
😂😂😂😂 Inaonekana una ugonjwa wa Trending no.1, kwa ukubwa wa diamond na followers wake lazima a trend tu


Ila bado nyimbo zake za sasa hazijatoboa na kuna ambayo ilichechemea ku trend..achilia mbali ile iliyofutwa kwa kuba bit

Pamoja na kuwa nyimbo hizo zote zina ad, diamond ana advertise na bado ana followers wengi


Kiba ana subscribers chini ya laki tano, wakati diamond anao zaidi ya 3m unaona gap hili

Kiba hana ad kwenye nyimbo zake diamond ana ad


Kiba is strong, na mashabiki wake ni loyal mno, yaani Kiba hakutakiwa hata kuingia trending

Fact kuwa ana followers wachache sana, hatangazi nyimbo zake utube na bado anaweza kunusa namba moja, huyu sio wa kumdharau ...Diamond anajua hilo sana


Pia wake wengine jamani...wanatoa miziki kila siku na hauoni iki trend
 
Siku hizi kila wimbo mpya wa wcb ukitoka unajiuliza wameiba wapi
120347875_188541896046343_7321852429850653732_n.jpg
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom