Diamond Platnumz: Nimenunua hoteli na kumiliki chombo cha habari kwa sababu ya juhudi za awamu ya tano; Wasafi FM wawasha mitambo yao Mbeya 97.3

Franky Samuel

JF-Expert Member
Oct 10, 2018
4,912
12,988

Leo asubuh Wasafi FM wamewasha mitambo yao Green City Mbeya

EjJoLI-WoAI-Zda.jpg
 
View attachment 1585555
Leo asubuh Wasafi FM wamewasha mitambo yao Green City Mbeya

Ethiopia Nchi yenye Ndege zaidi ya 120 kuliko Tanzania, Ethiopia ina Flyovers kuliko Tanzania, Ethiopia ina Tren ya Mwendo kasi kuliko Tanzania, Lakini Leo hii Waethiopia 28 na Wasomali 4, Wamekamatwa Wilayani Pangani, Wakijaribu kutoroka kwenda Kujitafutia Maisha Nchi za Kusin

Halafu maccm yanajisifu bila aibu, fyoko fyoko fyoko ndegeeeeee
 
Back
Top Bottom