Nyimbo ya Alikiba ya Mediocre yawa Gumzo Africa Wakati Diamond na Zuchu wakipapasana

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Nyimbo ya Alikiba imeweza kushika Namba Sita kwenye chat ya nyimbo Bora za Africa

Alikiba ndio Msanii pekee Alie kwenye chat hiyo kwa ukanda wa East Africa Ameweza kuonyesha kwa kiasi Gani yeye Ni msanii wa Muziki na Sio Mfanya skendo ili Aonekane

Kwa Hatua hii Namuona Diamond akiachana na Zuchu na kuweka nguvu nying kwenye Muzik ili tu aweze kurudisha Ile Hali yake ya ushindan kama Zamani Kwani Kiba alivyo relax nayeye akalala

Pia siioni nafas ya Harmonize Tena na asipo angalia huenda akawa kama Rich Mavoko maana vurugu zote Hana nyimbo hata Moja ilioingia kwenye chat za Africa

My take kwa Alikiba endelea kufanya muziki mzuri kaka kwani wabongo tu Ndio wanaenda skendo ila nje watu wanapenda kazi

Screenshot_20200929_165103.jpg

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo page ni ya shabiki tu anayefuatilia muziki wa Africa na kupanga chart zake yeye mwenyewe, nothing special.

Kigezo kipi kimetumika kupanga hiyo chart; streams, popularity ya kwenye social media au nini?
Watu wanaota
 
Nenda kwa davido na Burnaby utaikuta hii page pia angalia kwa diamond mwez wa 4 walivyo toa nyimbo yao na rayvan ikahit kelele zilikua nyingi na ushaid ilikua page hii unayo ita ya mshabik mmoja

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo page ni ya shabiki tu anayefuatilia muziki wa Africa na kupanga chart zake yeye mwenyewe, nothing special.

Kigezo kipi kimetumika kupanga hiyo chart; streams, popularity ya kwenye social media au nini?
Hiyo ni playlist tu ya huyo jamaa wa hiyo page uchwara kaamua kuiweka tu mtandaoni hakuna kipya hapo.
 
Mkumbusheni basi akalipe pesa za Rockstar akomboe Youtube channel yake, mbona Harmo kaweza??
 
Back
Top Bottom