Producer Luffa yupo underrated sana

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,175
22,576
Kiukweli kuna kipindi bahati inachangia kwenye maisha ijapokuwa utaweza kuwa na kipaji. Mfano halisi ni huyu Producer Luffa
Jamaa ni talented sana ila hana bahati.

Inasemekana pale switcher record yeye lufa alipoondoka kwenda wanene aliacha mafile yake mengi yenye beat ambazo hazina vocal kibao na zingine zilikuwa kwenye external ndo akawa anazitumia es2kizzy .

Kwa maana nyingine kizzy alikuwa anatumia kazi za luffa. Luffa amesuka beat nyingi Kali kama kababaye ya chin bees na nyimbo za Rosa ree kibao bila kusahau arosto ya G Nako.

Luffa anasifika kuwa ni mtaalam wa kupiga violin na kinanda. Kwa sasa yupo wanene record.

Watu kama kina layzer wamepata bahati ya kufanya kazi sehemu kubwa lakini ni utopolo.

Hii chini ni beat yake luffa alisuka hivi juzi
 

Attachments

  • BEKABOY Conboi TILL I DIE Official Video-mc.m4a
    3.2 MB · Views: 7
Lufa siyo poa huyo mtu...bt I guess pale Wanene ndo kuna problem mbona kwenye studio za switch jamaa alibamba akafanya poa sana hadi Wanene wakamsign.
Huwa nikisikilza Arosto au Waya ya Joh Makini dah! roho inasuhuzika Kabisa.

Halafu ile Kababaye ya Chin Beez imefanywa kama cover hivi na jamaa mmoja wa kiganda inaitwa " Nze Kabaka"
 
producers wa bongo wengi tu hawapewi heshima wanayostahili. na pale wanaponaribu kusimamia maskahi yao ndo unakua mwanzo wa kupotea kwao.
wengi unaoskia wanahit sana ujue kazi nyingi wanafanya za bure kabisa kwa kisingizio cha kuwapa jina na hakuna cha maana wanachopata nje ya majina.
 
Lufa, Pancho, Nahreel, etc naamini hawakupotea sababu ya viwango kushuka ila ni mgongano tu wa kimaslahi aidha na wasanii ama ofisi wanazofanyia kazi.
Eti producer mkali kwa sasa ni S2Keeyz! Huez kunambia S2Keeyz ni mkali kuliko Luffa, kwa lipi yani?!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom