Habari,
Navutiwa sana kupiga mziki hasa kwenye halaiki. Natumia simu na power-mixer huku watu wanapiga mziki kishamba sana.
Au telegram channel ambayo inahusisha haya mambo
Huyu the Weeknd ana-sound kama Michael Jackson ukisikiliza hii Starboy,Call out my name,The hills, N.k Ni hatari sana.
Justin Bieber mtaalamu wa Sorry,What do you mean,Love youself, n.k
Nani...
Kuna jamaa alikuwa mwendeshaji wa kipindi cha "HIP HOP BASE"EATV Miaka ya 2007.mwenye kufahamu huyu jamaa yupo wapi?na anafanya nini anijuze tafadhali.
MSALITI ASAKWE - 1
IMEANDIKWA NA : PATRICK J. MASSAWE
*******
Simulizi : Msaliti Asakwe
Sehemu Ya Kwanza (1)
MAJIRA ya saa nane za mchana, walionekana vijana watatu, wakiwa wamekaa upande wa baa...
JULAI 7
story by richard MWAMBE
Dunia inakumbwa na wimbi la ugaidi,
matukio ya kutisha yanayopoteza maisha
ya walio wengi katika pande mbalimbali
za dunia ikiwemo Afrika hususan...
MTUNZI Amata Gaimba
Sehemu 1
SEHEMU FULANI HUKO AFRIKA MAGAHARIBI
MACHO YANGU yalikuwa mazito sana kiasi kwamba iliniwia ngumu kuyafumbua. Haikuwa rahisi kwangu, nilijaribu kutumia nguvu ya...
RIWAYA: HAMUNAPTRA - MJI ULIOPOTEA
MTUNZI: Richard MWAMBE
MAHALI: BAGAMOYO
SIMU: 0766974865
Riwaya ya kufikirika, itakayokupa taharuki, tafadhalisoma kwa makini ikiwezekana rudia mara kadhaa...
Sehemu Ya Kwanza
Kwa Majina naitwa Kelvin pia James, Haya ni majina ambayo sikupewa na wazazi wangu Bali nilijibatiza mwenyewe lengo hasa likiwa Ni kujibland wakati najitambulisha mbele za watu...
Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube....
Itafute upate burudani...
Miongoni mwa...
Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosema
Ipi series nzuri hapo juu kuanzia uhusika mpaka series yenyewe ipi ni nzuri hasa zaidi tukiwazungumzia wahusika wakuu PRISON BREAK unamkuta Michael...
BURUDANI: Watengenezaji wa ‘Game of Thrones’ wapanga kukaa mbali na mji ili wasisikie maoni ya watu baada ya tamthilia hiyo kuisha
David Benioff na D.B Weiss wamenukuliwa wakisema wakati wa...
Kwa mujibu wa Shazam, wimbo wa mwanamuziki Master KG umevunja rekodi ya kuwa wimbo uliotafutwa zaidi duniani.
Congrats @MasterKGsa! #Jerusalema is now the most Shazamed song in the world...
Sasa unaweza kuskiliza street One radio katika page zote za online radio station bila ya shida seach Google street One radio au bila ya kuacha nafasi yani streetoneradio ok kisha chagua pa...
Riwaya: Pasipoti ya Gaidi part 1
Mtunzi: Richard Mwambe
Pasipoti ya Gaidi: Hujuma na Uzandiki
Sura ya I
Ikulu – Dar es Salaam
Saa 10:30 Alfajiri
Wakati giza likijiandaa kutoweka na kuipisha...
SISI WETU NI MAGUFULI, WENGINE MSITUTISHE!
Tanzania yapendeza
Amani yetu yaangaza
Uhuru wetu twajivunia
Na tisa hamsini metimia
Beberu we situtishe
Utaipata kasheshe.
Wapo wenye inda
Nia yao...
Habari ndugu zangu naombeni msaada kutambua movie hii kwa maelezo mafupi nitakayo yatoa hapa.
Hii movie nahisi imetolewa 1997 ni ya gerezani stara wa hii movie hupenda kujifunga kitambaa kichwani...