Nani Mkali: Justin Bieber vs The Weeknd

Nani Mkali: Justin Bieber vs The Weeknd

Joined
May 16, 2020
Posts
88
Reaction score
95
Huyu the Weeknd ana-sound kama Michael Jackson ukisikiliza hii Starboy,Call out my name,The hills, N.k Ni hatari sana.

Justin Bieber mtaalamu wa Sorry,What do you mean,Love youself, n.k

Nani zaidi kati ya Justin Bieber na The Weeknd kwenye nyanja zote za muziki?

Forgive me

images.jpeg
 
Justin Bieber =Vidjk

The Weekend =Babu Onyango.
 
Namkubali sana Bieber lakini The Weeknd ni moto mwingine kabisa.
Adaptation, I can't feel my face, I feel it coming, Blinding lights...
Hahahahaha, achana kabisa na The Weeknd..
 
The Weeknd ni hatari sana justin hawez huo moto kabisaa,

Blind lights [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom