Wako wapi?

Wako wapi?

ngalelefijo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
4,135
Reaction score
2,821
Lili kundi Hard Blasters na ile ngoma MWOKOZI NITOE ROHO. Mwenye kujua majina yao hawa jamaa anikimbushe TBT.
 
Lili kundi hard blasters na Ile ngoma MWOKOZI NITOE ROHO.mwenye kujua majina yao hawa jamaa anikimbushe TBT.
Duuh.. mkuu inaelekea tokea uisikie hiyo nyimbo ni kama vile ulitoka nje ya hii sayari ndio umerejea juzi kati 😀
 
Back
Top Bottom