Wapenzi wa movie za zamani

Wapenzi wa movie za zamani

WIMICKY

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
1,439
Reaction score
1,575
Habari ndugu zangu naombeni msaada kutambua movie hii kwa maelezo mafupi nitakayo yatoa hapa.

Hii movie nahisi imetolewa 1997 ni ya gerezani stara wa hii movie hupenda kujifunga kitambaa kichwani na %kubwa wamecheza sana kwenye mahindi mashambani na kuna sehemu kuna dogo aliuliwa kwa kufukiwa na kifusi cha mawe yaliyo benuliwa toka kwenye tipa na yeye alikuwa anachota maji kwenye bomba iliyokuwa kwenye tipa hiyo.
 
Back
Top Bottom