Ader fla19
Member
- Apr 26, 2020
- 25
- 25
Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube....
Itafute upate burudani...
Miongoni mwa mistari iliyomo wanakwambia
HAKUNA MLAMBO MSHAMBA...
Itafute upate burudani...
Miongoni mwa mistari iliyomo wanakwambia
HAKUNA MLAMBO MSHAMBA...