SAIGON wa EATV yuko wapi?

TEGEMEA

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
369
56
Kuna jamaa alikuwa mwendeshaji wa kipindi cha "HIP HOP BASE"EATV Miaka ya 2007.mwenye kufahamu huyu jamaa yupo wapi?na anafanya nini anijuze tafadhali.
 
Oi oi oi Kalinye Kalinye

E bwana Dah!!!
Kalinye Kalinye Episode.
Halafu kuna kile kibwagizo chake sikielewielewi anavyoimba,
But nadhani hua anasema
"Albam flani hivi, albam Dah"
 
Jamaa ypo poa sana, kama kawaida, kalnye kalnye...ndan ya sinza kwa remmy, anaendeleza mapambano binafs ndan ya mtaa!Ntamwambia wana-JF wnakuulzia....
 
Huyu jamaa jembe tangu akiwa na DIPLOMATZ hz bongo flava ndo inaanza Tz!

Nakumbuka walikuwa watoto fulani wa kishua, walikuja na track yao moja ilikuwa inaitwa are u down! na moja siikumbuki ilikuwa na chorus, nanukuu "kukuru kakala zako we zitakuponza".
 
Kukuru kakala zako wewe zitakuponza acha we,achaaaa,nautafuta sana huo wimbo nilianzisha uzi wa kuutafuta,huo wimbo aliupiga SOS B.
 
Huyu jamaa jembe tangu akiwa na DIPLOMATZ hz bongo flava ndo inaanza Tz!

Nakumbuka walikuwa watoto fulani wa kishua, walikuja na track yao moja ilikuwa inaitwa are u down! na moja siikumbuki ilikuwa na chorus, nanukuu "kukuru kakala zako we zitakuponza".

"Kukurukakara zako zitakuponza""acha we achawe"nakumbuka ITV kipindi fulani hivi nimekisahau kilikua kinarushwa saa kumi jioni mwaka1999.umenikumbusha mbalisana nilikuwa kidato cha nne.
 
Huyu jamaa jembe tangu akiwa na DIPLOMATZ hz bongo flava ndo inaanza Tz!

Nakumbuka walikuwa watoto fulani wa kishua, walikuja na track yao moja ilikuwa inaitwa are u down! na moja siikumbuki ilikuwa na chorus, nanukuu "kukuru kakala zako we zitakuponza".
Unaharibu mkuu,
KKZ ulikua wa Sos B " Wa Ma-Bi",
Saigoni aliimba huohuo wa "Are You Down with Diplowmatz"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom