Wimbo uliobuniwa na Timu ya CHADEMA kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 unaweza kuwa ndiyo wimbo Bora kabisa kwa Chaguzi za hivi karibuni.
Wimbo unaitwa "AIYAYA CHADEMA"
Sikiliza mwenyewe...
Jina la msanii: Mejja
Jina la wimbo: Niko Poa
Nchini: Kenya
huu ni okonkwo
tangu nikuje Nairobi
watu wangu wa Majengo sijawasahau
skia hii
Verse 1
bro najua nimekosa sana
ndio nimeandika hii...
Haina ubishi wakuu hakika hili ndio litakua hiphop kali na lenye beat funiko mwaka 2020.
Beat lake tu ni hatari. Kama una sabufa lako jirani hapo jaribu kuconnect utasikia bonge la dundo.
Habari za weekend wanajamvi.
Moja kwa moja kwa mwenye kujua ni series au movie gani inaleta raha na kufurahisha hasa ukiwa unaangalia na mke au mpenzi wako. Iwe ya aina yoyote ile ila sio (pono)...
Niliacha kutazama hizi filamu za kitanzania kwa sababu ya makosa mengi ya dhahiri kuanzia uigizaji na matukio yanayoendana na filamu zao.
Kuna mwigizaji hivi karibuni amejitokeza kwa filamu zenye...
Hii ni kwa wale wapenda movie huwa tumezoe kuona wengi huwapenda sana mahero/starring kwenye movie kushinda maadui mm ni mmoja kati ya watu ambao wanaopenda sana maadui kushinda mahero/starring...
My Soulmate Episode 1
Produced by EquatorStory Specials
Stela :”Nickson uko wapi jamani ?? Mpaka sasa umechelewa sana.”. Ilikuwa ni sauti ya stela akimngojea mpenzi wake Nickson alie kuwa njiani...
Kwa kweli hata mimi sijui jina lake, wala aliyeupiga.
Ingawa hata mimi ninaupenda huenda kuliko yeye. Laki yeye ndiye anahitaji aupakie kwenye simu yake sasa hivi!
Sasa nafanyaje ili nipooze kiu...
Leo nataka tushare kidogo kuhusu apple music, kama tunavojua nje na kuproduce simu, Pc, watches, tv etc apple pia wana app ya music digital streaming services . Apple Music launched june30,2015...
Zuchu ameachia ngoma yake ambayo amemshirikisha msanii kutoka Nigeria JOEBOY ngoma inaitwa NOBODY humo ndani zimechanganywa lugha mbili kiingereza na kiswahili
Sent from my SM-A107F using...
Tokea nimalize kuangalia GOT bado hakuna series iliyo attract my attention Sana mpaka nilipokutana na hii Series.
Kisa Ni Black man jamaa anaitwa Atticus alitoka jeshini south Korea, enzi hizo za...
Mziki wa zamani kwa asilimia kubwa ulifanywa kwa makundi na tumeshuhudia makubndi mengi sana Bongo yaliyohit sana na kusaidia kuusogeza muziki wa Bongo kwa kiasi fulani.
Katika kuyakumbuka makundi...
DUKA LA ROHO
SEHEMU YA 1.
SAA 2:50 ASUBUHI.
JIJINI DAR ES SALAAM, MAENEO YA SINZA AFRICA SANA.
Wanaonekana watu wawili wakiwa wanafukuzana huku mfukuzaji akiwa kakamata bastola aina ya Baleta...
Habari za leo wakuu,
Leo nimekuja na song la my best friend anaitwa Aisha, song linaitwa stay.
Kila nikiingia youtube naona viewers wanaongezeka kwa kasi mnoo. Hii inatangaza hali hatari kwa...
Kuna kazi nyingi sana za riwaya za kipepelezi ambazo zimetungwa na waandishi mahiri hapa nchini kama Ben Mtobwa n.k hali kadharika riwaya za kawaida kama za maisha. Je ni zipi zaidi zinapendwa na...
Doh! Washkaji nendeni XXL DJ Sinyorita kakinukisha huko doh! Huyu demu siyo mtu mzuri anapiga mix za kufa mtu yaani alivyonimiksia ile ngoma ya gyptia halafu akagusa roko ya mtaalam tyga aaaahhh...
Tuzo za Billboard mwaka 2020 zimemalizika usiku wa kuamkia leo, Post Malone ameibuka kinara kwa kuondoka na tuzo 9 mkononi.
Malone amenyakua vipengele vya; Top Artist, Top Male Artist, Top...