Azamu two "MUKANDA " Kipindi kizuri cha uchambuzi wa movies

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Hawa vijana wako poa sana leo walikuwa wanachambua movie ya black panther wamenifanya niitafute tena niangalie kwa ukaribu.

Kuna mdada anaiwa Ilham Rashid shombeshombe hivi yuko poa sana

Kuanzia boxes. Pg.settings. characters na kwa kila scene wako safi sana .

Au nasema uongo ndugu zangu

USSR
 
sijui nimetizama sana movie au ntakuwa na roho mbaya au mtazamo hasi juu yao naowaonaga hawajui.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom