Angalia Gangs of London series iliyochangamka

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,476
23,595
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.

Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
 
Kweli nimeichek iko poa kwa wale walio interested nayo.
 
Ukiacha TV series mbalimbali za ki Gangs kwa mwaka huu hii ndo Kiboko. GANGS OF LONDON. hii nmeikubali sana.

Kama unapata muda ukishapita kura yako huko Tz. Rudi home kaangalie. Au kama umeamua kulinda linda kura yako huku una check hii Series. Utaenjoy sana.
iko wapi?
 
Episode 9 imeniacha na wimbo wangu pendwa wa abide with me
Kwa kweli hii serie ni tamu aliye i recommend heko sana kwake
 
Back
Top Bottom