Tupia wimbo ambao umeusikia mahala na ni mkalii ila kwa bahati mbaya haujapata nafasi ya kusikika sana

Mshati940

Member
Apr 2, 2015
72
53
Nadhani kuna wakati baadhi nyimbo nzuri zinatolewa na wasanii na nikalii sana kuzisikiliza lakini hazipati nafasi ya kupenya kwenye media kivile.

Ebu tushirikishane izo nyimbo hapa chini
1. Kamanda by Bi Aisha
2. Jipe by Nadia ft Marioo
3. Nilipize by Ibranation
4..........

Sent from my Pixel using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom