Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Muziki wa dance uliwahi kutamba kwenye miaka ya 1990 hadi 2000, baada ya hapo muziki wa kizazi kipya uliingilia kati japo miaka ya hivi karibuni muziki huu umeishiwa pumzi mpaka unajikuta...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa Kusema hivi. Sijamfahamu kijana huyu kwa muda mrefu. Huenda nimesikia nyimbo zake nyingi ila sikujua kama ni yeye. Je! Ni lini ali breakthrough kwangu.., ni pale alipofanya...
6 Reactions
52 Replies
11K Views
Wakuu, Ushawahi kwenda Bar? Kuna Live band? Wale jamaa huwa wanapiga Nyimbo za Injili (Gospel) very touching! Achana na Gospel za Kwenye Makanisa ya Manabii! Gospel ya kwenye Bar ina upako very...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Wakuu msaada tafadhali. Kuna movie iitwayo If looks could kill ya mwaka 1991. Mwenye nayo tafadhali. Nimejaribu kui google inapatikana trailer tu. Mhusika mkuu anaitwa Michael Corben. Ni...
0 Reactions
3 Replies
979 Views
Baada ya kukaa kimya kwa kitambo kidogo, yule MC anayefanya 'Hip hop isikilizike' amerudi tena na ngoma mpya ikiwa ni muendelezo wa ngoma pendwa zinazofahamika kama SINAGA SWAGGA. YouTube link πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimasaa nane na dk kadhaa tangu king wa bongo flavor yake aachie chupalake jipya alilo mshirikisha Rudeboy kutoka west-Africa [emoji1184]. Ndani ya huu mda wa masaa nane una viewers 500K+...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Diamond alitutangazia album mwaka huu na juzi kati alikua south Africa kufanya finishing ya album leo ameshea picha kwenye page yake ya Instagram akiwa anaongea na mwanamuziki wa marekani swaelee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RURION KENSHIN THE FINAL(2021) ni moja kati ya movie zangu bora kwa mwaka hii ni kisanga sana ni mkono mwanzo mwisho. Jamaa anaitwa kenshin himura alikuwa ni samurai na muuaji na mwalimu wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mpira wa miguu ni moja ya burudani kubwa sana ulimwenguni. Mpira wa miguu ni ajira bora kabisa kwa vijana wenye vipaji vya kusakata kabimbumbu sawasawa. Mfano mzuri ni nchi za Amerika kusini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili suala linanikera sana hasa hasa Kipindi cha Asubuhi cha Magazeti kinachoongozwa na Maulid Kitenge na Zungu huwa nasikiliza hadi nakereka. Mimi napendekeza wabadilike kwani sio wasikilizaji...
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Hawa wasanii naona hawapo serious. Diamond ametoa wombo wake wa dakika 2 haraka haraka ova alikua hajajiandaa wakati alikua kimya kwa zaidi ya miezi 6. Huyu Alikiba nae Salute atleast audio...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kilivyo. Poleni na majukumu. Kuna wimbo nliupenda sanaa, nliusikia Mara moja tu kwenye coaster wakati nasafiri. Hints; 1) Ndani kashirikishwa Juma nature. 2) Huo wimbo ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siyo Marijan Rajab. Wala siyo Hemedi Maneti. Pia si Eddy Sheggy. Gurumo, Moshi, Bitchuka na wengineo wenye uwezo aliokuwa nao Dudumizi, Jerry Nashon. Msikilize kwenye vibao kama Imakulata, pesa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
NYEMO CHILONGANI 0718069269 Sehemu ya 01 Ndiyo ni mzuri! Tena hasaaa! Kwanza ni mweupe. Ana mwili ulionyambulika. Macho ya goroli, ya kurembua ambapo akiamua kukuangalia, basi tuseme umepata...
9 Reactions
46 Replies
12K Views
Well firstly nichukue nafasi huu kumpongeza diamondplatnumz kwanza kuwa nominated ni jambo kubwa saana @betawards inatazamwa saaana Duniani kitendo Cha ulimwengu kusikia tu jina la diamondplatnumz...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za Leo wadau, Binafsi mimi nimetokea kumkubali sana mwanamuziki AISHA. Namwona mbali sana, katika vokozi. Pengine naweza kusema anakuja kuwa malkia wa Muziki Tanzania. Hivi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii ni kazi ya Uandishi wa Maria Suriano wakati yuko field work nchini Tanzania mwaka 2007, hizi ni enzi za "DarHotwire" kama mtandao wa jamii wakati JF ndio imeeanza. Angalia attachment...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kuwa Nominated sio kwamba unastahili ushindi, Naseeb katika 2 years hana kazi za kumshinda Burna, kachukua Grammy hivi unadhani ingekua rahisi kuacha BET ambao walisema. "The award show is an ode...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Habarini wana jamvi Nakumbuka miaka ya 90, kupitia Redio Habari Maalum (RHM) Kuna kwaya moja iliyoitwa "Huru Waimbaji was Sofa" waliimba nyimbo za kusifu zikiwamo "Jina LA Yesu", " ROHO...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…