Nimetokea kuikubali sana hii series
Maisha ya Daudi akiwa mchungaji wa kondoo huko milimani akipambana na wanyama wakali huku kaka zake wakiwa nyumbani
Maisha ya mfalme Sauli aklivyolewa sifa...
Binafsi sio mfuatiliaji sana wa nyimbo hasa ambazo sielewi lugha yake
Mwanzoni nilianza kuona wimbo wa makombolela kwenye page mbalimbali za instagram, baadaye kila aliyepost au kupiga wimbo huo...
Imebaki siku moja tu kabla ya kuonyeshwa duniani kote, Netflix wameachia trela ya kwanza kabisa ya Sean Combs: The Reckoning, mfululizo wa documentari ya sehemu nne (four-part docuseries)...
We and Dem” is Bob Marley’s warning about division, injustice, and oppressive systems, and a call for unity and awareness.
It reflects the struggle of ordinary people against corrupt powers that...
Katika kupitia maoni ya JF members, nimekutana na post ya Roman Israel Esq ambayo kutokana na upeo wangu kuwa mdogo nimeshindwa kumuelewa Tosh.
Sijui shida yake ilikuwa ni nini. Je, hakutaka...
PENZI LA NYOKA MTU
MTUNZI:HAKIKA JONATHAN
WHATSAP:0629905923
*SEHEMU YA KWANZA**
Msitu wa Ukijani ulikuwa kimya sana,ukimya uliopelekea sauti za ndege kusikika kila pembe ya msitu huo.Ndege...
tory za kusisimua.
Simulizi: 'MKUFU WA MALIKIA WA KIJINI'
Mtunzi: Meteck Derthod
SEHEMU YA--- 01
Shukurani kwa:-
1> Mungu aliyeniumba na kunifanya niendelee
kuishi mpaka muda huu.
2>Wote wanaotoa...
Huu utakuwa ufafanuzi rahisi was kitu ama Muda.
Je inawezekana kwenda miaka ya mbele ama kurudi nyuma kwa akina Yesu na Yuda Eskaroti?
Sasa hapa utapata ufafanuzi wa time travel.
Ipo ama haipo...
Onyo: simulizi hii ni kazi ya ubunifu (fiction). Wahusika, matukio, majina ya kampuni (isipokuwa yale yanayojulikana sana, mfano 'Dar es Salaam)na taasisi za kisiasa zilizotajwa hapa ni za...
Jimmy Cliff alikuwa mwanamuziki wa Reggae kutokea Kingston Jamaica na ndiye aliyekuwa mashindani mkubwa sana wa Bob Marley. Wote Jimmy Cliff na Bob Marley walivuma sana miaka ya 70 kabla Bob...
Kama mtunzi hii ni simulizi yangu ya kwanza kuandika na kuitangaza nje ya jukwaa husika. Mimi ni mwandishi wa simulizi kutoka jukwaa la fasihinet.com ya boss singanojr 😁
Nisielezee sana kuhusu...
Mamtoni Kuna ranking za verse Kali za Hip hop ambazo vesi kama zifuatazo zimepata kupewa hadhi ya juu mara nyingi,
NY state of mind verse 1- Nas
Shook one verse 1 - Prodigy - Mob Deep
Loose your...
Waandaaji wa SolFest ya bendi ya Sauti sol imetangaza kuhairisha tamasha lao la Solfest Tanzania Pre-Party, lililokuwa limepangwa kufanyika tarehe 22 Novemba jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya...
[MPYA 2024]
FROM ISRA TO ISRA.
Sehemu ya..............01
Mtunzi: Saul David
Simu: 0756862047
Email: saulstewarty@gmail.com
UTANGULIZI...
Ulikuwa ni mchana wa jua kali, Mwanaume mmoja...
[Intro]
Yeah, farewell
Uh, uh, uh, uh
Hey, farewell
Hey, all my niggas, farewell
Fayettenam
Look
Yeah, yeah, yeah, look
[Verse 1]
Some niggas let they dirt out, some just keep it all in 'em
So...
Nimeona ni share hii Hadith yangu fupi ya utotoni.
Nilipo kuwa mdogo, miaka karibu 4–5, nilienda na watoto wenzangu kuogelea mtoni. Tulivua nguo kama kawaida. Mimi, kwa udogo wangu, sikuwahi...
Wadau wa Games, kuanzia PC hadi consoles. Rockstar Games wamesogeza zaidi muda wa kuzindua GTA-6 kutoka May hadi Nov 2026.
Pata muda wa kununua PS5 yako au upgrade PC yako mapema.