Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Wakuu habari, Kwa wale wapenzi wa movies za kiafrica tukutane hapa. Binafsi ni mdau wa Nigerian movies kidogo na za Ghana. This week nimeangalia My wife for Ritual ni movie nzuri sana na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wajumbe heshima kwenu, nina shida na biti ya waah ya nyimbo ya dangote x kofi,yeyote mwenye nayo please ashare na mimi au anipe link ila nahitaj orignal sihitaj remake,naona mtandaon nying zipo...
2 Reactions
0 Replies
591 Views
MWANDISHI;Moringe Jonasy Sehemu ya Kwanza Hali ya hewa ya jiji la Arusha jioni hii ilikuwa ya ubaridi kama kawaida yake huku upepo ukisogeza wingu dogo la mvua kuelekea upande wa kasikazini...
2 Reactions
53 Replies
16K Views
Wakuu kwema? Twende kwenye mada. Mimi ni mpenzi wa horror movies tatizo za movie ni kwamba unaangalia dakika 90 mzigo umekata, sasa nataka series zile za kukesha nazo ambazo zinatisha. Nahitaji...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa uwezo alionao Olympic Lyon haikuwa hadhi yake. Kwa kuwepo kwake Barca dunia itaushuhudia uwezo wake mkubwa katika soka. Msimu umeanza tu kawaficha kina Griezmann na wenzake anaonekana ndio...
0 Reactions
4 Replies
569 Views
Na Smartdunia. ‘’FURAHA NILIYOKUA NAYO TANGU NIKIWA MDOGO,ILIANZA KUFIFIA’’,Jessica alisema huku akifuta machozi kisha akaendelea. Nakumbuka siku ile, tarehe za mwanzoni mwa mwezi wa saba miaka...
3 Reactions
2 Replies
10K Views
Habarini wana jamvini? Nilikuwa msomaji mzuri sana wa majarida ya mwezi kama Bongo, Sani na Tabasamu. Ndani ya haya majarida kulikuwa na riwaya nzuri sana za kusisimua kama MUSAKO WA HAYAWANI...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
HII BEEF NI KAMA BEEF YA " THE GAME vs JADAKISS" beef ya the game na Jada ilisuburiwa kwa hamu sana lakini haikuwahi kutokea. Jada na Game wote ni lyricists wazuri...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Hii filamu ya F9 waliyoitoa naona ndiyo wameboronga zaidi kuliko, bora wangeishia 7 hizi kuendelea ni mbovu mno. Tunaelekea kuona action za wahindi ndani ya Hollywood, haiwezekani filamu gari...
14 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa na wadogo zangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye swali/maswali.. Kisheria: Je mwanamke anaweza kuingia hatiani kwa kosa la kutoa mimba bila ya sababu ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sasa BASATA mnafanya kazi nzuri kuzuia au kupunguza unyonyaji wa wasanii, Sasa Kuna inshu kubwa ya hao mnaowatetea pia hao ni wanyonyaji wakubwa Sana wa Maproducer, yaani producer wamebaki chawa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeona Ibra ametoa video ya wimbo Jipinde, YouTube masaa 16 yaliyopita views Mil 1 hadi sasa (Saa 5 mchana tar 19-08). Hizo views Mil 1 vijana wa WCB Mbosso na Rayvanny wametumia week nzima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NGUVU YA MUZIKI Kila mikimtazama binti yangu Darina akijaribu kumumunya maneno na kucheza kwa hisia kila akiskia nyimbo anayoipenda ama kuifahamu kuipitia simu ya mama yake au radio au hata...
3 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari wana burudani wa zilipendwa, Kuna nyimbo mbili natafuta Audio zake au jina la wimbo 1. Hii nyimbo siijui "title" yake lakini inaimba: " Kama wanipeenda, twende kwa baaba, Akishakuonaa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nakwea Bila ngazi Maskini huchechemea Bila vazi Nchi wanaichezea kila dansi Huku tukitizama wanavyojimegea ardhi Wamezindikwa na mganga Hii Siri Ni Kali nagubikwa na utata Mtanza kajibanza chocho...
2 Reactions
3 Replies
821 Views
Nasikiliza kipindi cha Amplifier top10 countdown kinachorushwa hewani na redio ya watu Clouds FM na nimegundua kimepoteza kabisa taste yake, mvuto na burudani iliyokuwa inatolewa kipindi cha nyuma...
9 Reactions
27 Replies
8K Views
Lissa Lyrics by Rapcha Tongwe Records baby Bin Laded Saa sita mchana jua la utosi Chuo boom! limetema Nimekaa kiboss Ata presha ya msosi sina Somebody is calling… Oh kumbe Lissa Nimemsave Love...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Huyu mwana dada ananikosha sana kwa enzi zangu huyu ndo staring wa kike ninaye mkubali ni staring yupi unaye mkubali kpnd cha vhs Angalizo kwa wale vijana walozaliwa kipindi cha cd wasikoment...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
War Horse 2011 Farasi wa Vita. Hichi kisa cha War Horse 1912 Devon, England jamaa-Ted ananunua Farasi mnadani kwa mkwara anamu-outbid mwenye nyumba wake, watu wote wanamshangaa mbona Farasi sio...
2 Reactions
0 Replies
854 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…