Rally championship

Rally championship

Adonask

Member
Joined
May 3, 2021
Posts
6
Reaction score
8
Habari ya humu wanandungu natamani kuifata furaha yangu ilipo ki ukweli napenda sana michezo ya magari I mean rally na drifting pia sasaa naomba kupata hiyo company humu jf.
 
Morogoro Sua kule wanafanya hayo mambo Nane nane.
Arusha ilikuwa Kisongo kule

Dar.nasikia kama Kigamboni kule
 
Azam sport channel huwa wanaonyesha mchezo huu. Last time ilikuwa Arusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom