Upcoming album of Kendrick Lamar

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,304
Rapa Kendrick Lamar ameandikisha nyimbo mpya 30 ktk taasisi ya kusimamia haki za kazi za sanaa za wasanii nchini Marekani ikiwa ni matayarisho ya kutoa album yake ya mwisho chini ya lebo ya TDE [Top Dawg Entertainment]. Nyimbo hizo ni pamoja na 'Feel For You', 'End of the Line', 'Erika Kane', 'Driving Down The Darkness' na 'Lesson Learned'.
-
Kendrick anakuwa miongoni mwa wasanii wachache duniani kutengana na lebo iliyomtoa kwa Amani na makubaliano bila Beef yoyote. Album yake mpya inatabiriwa kutengeneza pesa nyingi kutokana na shauku na hamu kubwa ya muziki wa K Dot waliyonayo mashabiki wa hiphop, Kendrick hajatoa album toka DAMN Ya mwaka 2017, Hivi karibuni alithibitisha kuwa na nyimbo za kutosha kutoa album 6.

CC SamMisagoTV
 
Back
Top Bottom