Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo

Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,000
Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na asilimia 9 ni Downloads.
-
Ktk wiki ya kwanza Donda imesikilizwa mara milioni 33.4, hii ni album ya 10 ya Kanye West na ya tatu kushika nafasi ya kwanza Uingereza.
 
Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,038
2,000

Kanye West anastahili.

Ana kipaji na zaidi ana AKILI NYINGI SANA (GENIUS) kwa wanaoelewa wataelewa.

Kwa wasiolewa hawatelewa kamwe.

Hata Kardashians hawakumwelewa!
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
8,415
2,000
Kanye West anastahili.

Ana kipaji na zaidi ana AKILI NYINGI SANA (GENIUS) kwa wanaoelewa wataelewa.

Kwa wasiolewa hawatelewa kamwe.

Hata Kardashians hawakumwelewa!
Mdadvue vizuri boss natamani kumjua zaidi
 
20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,822
2,000
Album ya 'Donda' ya rapa Kanye West imeshika nafasi ya #1 katika chati za mauzo ya album nchini Uingereza baada ya kuuza kopi 20000 ktk wiki ya kwanza sokoni, asilimia 91 ni mauzo ya mtandaoni na asilimia 9 ni Downloads.
-
Ktk wiki ya kwanza Donda imesikilizwa mara milioni 33.4, hii ni album ya 10 ya Kanye West na ya tatu kushika nafasi ya kwanza Uingereza.
the guy speak madini sanaa, Conscious Shit ........
 
Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,000
Aisee favorites zinaongezeka kila napozidi kusikiliza: it was Jail, God Breathed and Offf ride. Now nasikiliza zaidi Keep My spirit alive, Remote control na Jesus Lord bila kusahu Donda yenyewe.
Album ya moto sana chief hata mi kila ninaposikiliza naongeza list ya favorite Ila for now:Believe what I say, OK ok,Hurricane, Junya and the list goes on
 
Chaos Master

JF-Expert Member
Jul 7, 2021
636
1,000
DONDA Ya Kanye West ndio album yenye mafanikio zaidi mwaka 2021 ikiwa imesikilizwa zaidi ya mara milioni 775 ulimwenguni kote, imeshika nafasi ya kwanza kwenye chati za album bora katika nchi 11 zikiwemo Marekani, Uingereza, Australia na kwa mara ya kwanza nchini Ufaransa, Italia na Sweden. Hii ni hesabu inayoongezeka kila baada ya muda kutoka Platforms tofauti.
-
DONDA imeweka rekodi mpya ktk Apple Music kwa kuwa album Number 1 kusikilizwa katika nchi 152, Donda ilitoka August 29.
#SamMisagoTV
 
Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
6,320

Hahaha mpaka sasa CLB ya drake imeshaipita DONDA kwenye streams na sales just for 3days
 
The imp

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
13,523
2,000
Kanye West anastahili.

Ana kipaji na zaidi ana AKILI NYINGI SANA (GENIUS) kwa wanaoelewa wataelewa.

Kwa wasiolewa hawatelewa kamwe.

Hata Kardashians hawakumwelewa!
Sure

Jay z mwenyewe anaelewa Kanye ni music Genius Basi tu bipolar inamwendesha

Jay Z anamkubali Kanye hata kesho tatizo wake zao ni paka na panya mmoja msaka umaarufu kwa udi na uvumba mwengine mashauzi na kujifanya class matawi

Hii inawafanya Wana watengane wakaa mbali

Still ni watu wanaopenda Sana coz wanaelewa wapi wametoka na mziki tatizo "pale Kati patamu"

Pussy destroyed everything damn!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom