Fatherhood bonge la movie

Fatherhood bonge la movie

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Ni moja ya kazi nzuri ya msanii kevin hart

Humu ndani namna gani baba alivyopambana kumlea mtoto katika mazingira yeyote hata akiwepo kazini Kevin hart kauvaa uhusika vizuri kabisa 100 percent Hii filamu kuna baadhi ya scene unaweza lia yaani its very emotion Kuna scene humu Jamaa alienda na mtoto ofsini dogo akaanza matty akaacha kupresent kazi akaenda kumbembeleza mwanaye ikabidi apresent huku anambembeleza mwanaye What an amazing dady [emoji7][emoji7][emoji7]

Movie inaanza Jamaa( matty) anafuraha kwelikweli baada ya mkewe lizzy kukaribia kujifungua mkewe anajifungua salama mtoto wa kike jamaa akawa na furaha ile mbaya siunajua mbwembwe za kevin hart wewe [emoji1787][emoji1787] Basi ikabidi kesho mkewe aruhusiwe kutoka hospitali Mumewe naye akaenda kumlaki mkewe ile wanampakia kwenye will chair mkewe nguvu zinamwisha hivyo inapelekea kufariki

Mchizi anachanganyikiwa analia sana wakati yupo msibani washikaji zake wanamwambia akatoe speech pale msibani hapo hata mimi nirimwonea huruma Basi jamaa akapambana huku kazini huku mtoto mpaka mtoto anakua anaanza shule kimbembe dogo ataki kuvaa sketi alafu kanavaa boxer za kiume [emoji1787]

Life inaenda badae jamaa anakutana na manzi mmoja jamaa anamwelewa sana manzi wana fall in love na huyo manzi mwenyewe naye anaitwa lizzy [emoji7] huyu manzi ni wife material kabisa Ingawa matty alizingua lakini alikuja kusema mwenyewe irudiwe [emoji7]

Hii movie ni maswala ya kifamilia zaidi naipa rate ya 9/10
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom