Binti Kirembwe
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 307
- 331
Hapo zamani za kale ,alikuepo baba mmoja alikua akiishi na kijana wake wa kiume , kazi ya mzee ilikua ni fundi mwashi,
Miaka ilisogea na uzee ulibisha hodi na kijana alizid imarika siku hadi siku ,na ilifikia wakati wa kijana kuish kwake ,ila kazi akiwa bado anafanya na mzee wake ,.
Baba aliku na tabia yakutoka kwake na kumpitia mwanawe wakiwa waeleka kazini.
Mzee alipo angalia kijana chake kimeshakua na wakat unamfungiza ,akamwambia wakat umefika wa kuwa na mwenza ,.
Kijana aliitikia wito wa baba na kutafuta mwenza ambae ,ataanza naye Maisha ,Baba akuwa na akutaka kumchagulia kijana mwenza alimpa uhuru wa kumchagua ampendaye ,.ijapokua alikua ni mtu wa kutoa mitihani ,.
Kuthibitisha chagua la mwana kama ni sahihi.
Kijana alimpata mwenza na kumueleza babaye na kisha baba kuridhia ,Maisha yaliendelea .
Siku Moja wakat anakuja kumchukua kijana wake kuelekea kazin ,alitoa nazi mbili na kisha kumwambia mkwewe na mwanawe kwamba hiki ndio chakula cha jion ,.
Kisha wakaondoka na kuelekea kazin ,kawaida yao ilikua ni kurudi jion kabsa .
Nyuma walimpa changamoto kubwa mtoto wakike Nazi mbili tu atazifanyaje hadi kiwe chakula ,kiukweli aliwaza had akili kugota ,na alichofanya alizivunja na kuzichokoa na kuweka katka sinia ,kisha kufunika na kawa akimsubiria mumewe na mkewe wakirud wapate chakula cha jion.
Mikono imechoka.... Kuandika...
Sent from my Infinix X623 using JamiiForums mobile app