Kwa Jinsi ligi kuu bara ilivyoanza na jinsi ushindani unavyoendelea ni mambo mazuri sana. Nazipongeza sana Club ndogo kwenye ligi hii ambazo watanzania wengi walizoe kuona zikifungwa magoli Mengi...
Yule Mjivuni akamsogelea Umsolopogas aliyekua amesimama kwenye njia ya kuingilia nyumba ile walimofikia na mizigi yao, akamwambia 'Wee Mtumwa hebu nipishe nipite nimesha wapa habari ya ujumbe wa...
MUZIKI WETU.
----------------------
ALBAMU 50 MAARUFU ZILIZOUNG'ARISHA ZAIDI MUZIKI WA KIZAZI KIPYA. (BONGO FLEVA)
Bado tunaendelea kuwaletea mwendelezo wa Makala zinazozungumzia kumbukumbu za...
Kama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo...
Simulizi: MPAKA KIELEWEKE
Mwandishi: NIRA SAIRE
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
SEHEMU YA 1
Nilikuwa nimeongozana na mke wangu tukitokea dukani eneo lile la ugenini nikiwa busy kwenye simu...
Men, unaweza kumwambia mwanaume mwenzio "I Love You"?
Embu chukua simu yako nenda kwenye sehemu ya kuandika ujumbe mfupi mwandikie rafiki yako wa Kiume,
Anza na salamu, umwambie you Love him then...
Kwa heshima na taadhima namleta kwenu kijana wangu Imuh Zuzu na ngoma yake ya Endelea. Ni upcoming artist bado ana safari ndefu sana, hivyo nawaomba support ngoma yake hii kwa kuisikiliza tu na...
Are you ready to run the show?
You want this, don't front Que Que Que...
Speak up cual es la cosa...
Ven aqui let's get closer and closer...
Bite your lips cause you know that you feel it...
Ni kipindi kilichojaa ubunifu mkubwa na burudani za kutosha.
Ikiwa ni ep ya pili tu tayari The MVP lil ommy ameprove kwamba yeye ni king katika industry ya burudani akiwa sambamba na Ray Mshana na...
August Alsina kuacha kufanya muziki?
Staa wa Pop na Rnb kutoka Marekani @augustalsina Ametangaza kuwa kazi zake mpya zijazo ndio za mwisho kutoka kwake baada ya hapo ataacha kufanya muziki.
-
Ktk...
Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021.
Kabla ya...
Ukiangalia TV ya wasafi 95% ya vipindi vyao wamecopy na kupest kutoka EATV
Hata redio yao kwa kiasi kikubwa wamekopi earadio
Ukiondoa ile logo ya W ukawa unaangalia tv utajua unaangalia EATV...
Netflix imetangaza mpango wake wa kutoa huduma za kutazama filamu na series bure nchini Kenya 'Free Mobile Plan' katika harakati za kukamata soko la watumiaji wa internet zaidi ya milioni 20...