Mayaula Moyoni nyimbo zake zinanipa wakati Mgumu Sana

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,914
Huwa nyimbo za Mayaula Moyoni zinanipa sana wakati mgumu, nikizisikia tu namkumbuka Marehemu Mama angu, alipenda mno nyimbo za Mayaula Moyoni kibao kama Ko Tika Te, ni kibao alicho kuwa anapenda sana.

Kanda ya Mayaula ilikuwa haizimishwi kabisa make muda wowote ilikuwa inawekwa kwenye Caset, nilikuwa mdogo sana miaka ya 90+

Huwa nikisikiliza basi siku nzima nakuwa na huzuni, kuna wakati niliacha kabisa kusikiliza nyimbo za Mayaula labada nikutane na wimbo mtaani.
images%20-%202021-10-13T205644.624.jpg
 
Huyo mzee alikuwa anajua sana kwenye muziki, hapa home miaka ya 90 mama alikuwa anapenda sana nyimbo za pepe kalle hasa ile album ya full option.
Nilisiaga aliwa kuchezea yanga nafas ya ulinz
 
Jamaa kabla ya mziki alikuwa mchezaji wa Yanga
Huwa nyimbo za Mayaula Moyoni zinanipa sana wakati mgumu, nikizisikia tu namkumbuka Marehemu Mama angu, alipenda mno nyimbo za Mayaula Moyoni kibao kama Ko Tika Te, ni kibao alicho kuwa anapenda sana.

Kanda ya Mayaula ilikuwa haizimishwi kabisa make muda wowote ilikuwa inawekwa kwenye Caset, nilikuwa mdogo sana miaka ya 90+

Huwa nikisikiliza basi siku nzima nakuwa na huzuni, kuna wakati niliacha kabisa kusikiliza nyimbo za Mayaula labada nikutane na wimbo mtaani.View attachment 1973341
a
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom