barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 150
Naombe anaefahamu Ngoma kali za huyu Travis Scott azitaje nijaribu kumfuatilia. Maana jamaa anafanya show heavy na ana fans wakutosha. Ni zipi ngoma zake kali ambazo zipo kwenye playlist yako.
#forgive me
#forgive me