To Melophiles-2021 Recap; Let's Share and Exchange Music.

Picha hazifunguki, sijaona list yako. Napendaga hizi feedback sababu huwa zinanijulisha mambo mapya mazuri ambayo sikuyajua. Mwaka huu genre niliyosikiliza sana ni trance, mix za A state of trance. Trance tamu sana. Braza MALCOM LUMUMBA tumesikiliza nini mwaka huu?
 
Screenshot 2021-12-17 155147.png
 
Picha hazifunguki, sijaona list yako. Napendaga hizi feedback sababu huwa zinanijulisha mambo mapya mazuri ambayo sikuyajua. Mwaka huu genre niliyosikiliza sana ni trance, mix za A state of trance. Trance tamu sana. Braza MALCOM LUMUMBA tumesikiliza nini mwaka huu?
Nimesikiliza miziki mingi sana mkuu: Jazz, Soul, Blues, Folk, AfroPop, HipHop na RnB. Japo kuna wasanii wapya ambao nimewasikiliza sana huu mwaka ambao binafsi nimewapenda. Ngoja nitaiweka hapa.....
 
My sista Paula Paul natamani kujua usikilizaji wako Muziki ukoje.

Okay, usikilizaji wangu wa music ni wa kawaida. Mara nyingi kama nasikiliza kitu ni podcasts ila music nasikiliza while I am getting ready for work, doing the dishes, cooking and when I workout.

I listen to Pop, Jazz , Metal , Electronic and classical piano mostly . And that depends on what I am doing and my mood.
 
Siamini kuwa unasikiliza metal!! Band unayoipenda?
 
Kwanini hauamini?
Sabbath and Maiden .
Ni muziki wa kigumu sana. Yaani hiphop ya kigumu ni urojo kwa metal. Si rahisi kumkuta mwanamke anapenda hiphop, sasa metal!? Nawasikiliza sana Iron Maiden, fan mkubwa. Black Sabbath siwezi sema nawasikiliza, sijawahi sikiliza album yao nzima. Unaenjoy muziki mzuri👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼
 
Yeah hata hata watu wakisikia nasikiliza wananiambia unasikiliza watu wana scream/yell. Ila mimi napenda zinanifanya naona nipo powerful na nikiwa na hasira ndio zinanituliza.
 
Picha hazifunguki, sijaona list yako. Napendaga hizi feedback sababu huwa zinanijulisha mambo mapya mazuri ambayo sikuyajua. Mwaka huu genre niliyosikiliza sana ni trance, mix za A state of trance. Trance tamu sana. Braza MALCOM LUMUMBA tumesikiliza nini mwaka huu?
Hivi zile oldschool za Tiesto bado zipo... Naikubali ile ngoma moja hivi inaitwa "TRAFFIC"
 
Hivi kuna mgonjwa mwingine anayesikiliza instrumental music kutoka kwenye filamu/series. Napendaga sana zile emotional instrumentals au zile za action.
 
Zinakuwaga tamu sana. Niliikubali sana album kutoka Mad Max: Fury road, itafute uone mziki wake.
 
ntaicheki kamanda , aisee wale watayarishaji wako vizuri.
Kuna piece inaitwa "Autobots Reunite" kutoka kwny Transformers: Age of Extinction imekuwa composed na Steve Jablonsky, ni motooo aiseee..

Aisee kama una nyingine unazozikubali nitupie recommendation nkazichek.
 
Labda uchaki kwa composer wakubwa wanaojulikana kama Hans Zimmer. Aliecompose kwenye Mad Max anaitwa Tom Holkenberg. Yuko vizuri sana. Kuna Soundtrack ya terminator 2, Game of Thrones, Pirates of Carribean.

Kuna wachina nao wako poa sana. Naipenda Once upon a time in China. Unampata Enrio Morricone?
 
Nampata si kuna ile theme yake "The Good, The Bad and the Ugly (Main Title") nayo ni hatari.

Kuna
James Newton Howard - The Healing (Lady In The Water OST)
James Newton Howard - The Hanging Tree (The Hunger Games: Mockingjay Pt. 1 OST)

Nimeanza vurugu kidogo hahaha
 
Back
Top Bottom