Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
Wadau wa pande za kigoma wapi maeneo mazuri ya kula bata.hasa kwa siku kama ya jumatano na ijumaa.
asee maeneo mengine je mazuri ya kuishi ya ushuaniAnzia Mwanga kusafisha macho,then nenda Bangwe halafu usiku malizia Kibo Club hii ipo nyuma ya NMB. Angalizo angalia usije ukasahau familia(majukumu) yako tuu.
Kilimahewa ukoo au mloleasee maeneo mengine je mazuri ya kuishi ya ushuani
Mji Mwema ya chini na juu.asee maeneo mengine je mazuri ya kuishi ya ushuani
Kwa wale watoto watam
sizani kama huko wapoKwa wale watoto watam