Kwanza niseme mimi ni Simba lilia ila hapa nitaongea ukweli
1. Mo Dewj
Huyu bwana tunamshukuru sana kwa sababu tangu alipoichukua team kwa miaka minne mfululizo tumekuwa mabingwa na tumekuwa tukifanya vzr na tunapenda aendelee kuwepo shida yake ni uwezaji wake umejaa ujanja ujanja na hatak kufata taratibu vzr
Moo anatangaza kwenye jezi ya simba kuliko kawaida huku mikataba yake ikiwa haielewek
Nakumbuka aliwagomea Azam billion of money akisema ni ndogo but ye kachafua jezi kwa mil 200 kweli? Kwann asifate taratibu halisi za kuimik timu tu mambo yaishe? Check yake ilifia wap? Me kwakweli Moo nampenda ila simwelew hayuko straight amejaa ujanja ujanja
2. Babra
Huyu ndo tatizo kubwa pale Simba
Simba na Yanga zinahitaji profesional CEO ili kuendesha zile club na sio mtu kajanja tu
Yule mwanamama shida kawekwa pale kulinda masilahi ya Mo badala ya kusimamia uendeshaji wa team
Pia ni mtu wa chuki na visasi huku akiwa amejaa ubabe usiokuwa na maaana yoyote(malalamiko ndani ya uongozi juu yake ni makubwa sana)
3. Makocha
Hapa siwalaum makocha ila namlaum Mo Dewj
Huyu Bwana amekuwa akitukosea mara zote kwenye choice ya makocha
Simba ikitangaza nafasi ya kocha huwa wanatuma cv makocha wenye cv za maana(wenye vikombe) kwenye cv zao but Mo huwa anaenda kuokota huko kocha asiye na cv yoyote ile ya kueleweka halaf anawaleta wanapatia mafanikio yao ndani ya Simba hii sio sahihi
Inabid abadili huu utaratibu
Mwisho ili tushindane kimataifa tunapaswa tusajir wachezaji wa maana kwa kuvunja mikataba yao na sio kutegemea wachezaji walionmaliza mikataba kama huyu wa Vipers na Yule wa Zanaco
Ahsante