Angalia animation yangu ya kwanza niliyofanya

Angalia animation yangu ya kwanza niliyofanya

Abdallah Haz

New Member
Joined
Jun 21, 2014
Posts
3
Reaction score
11
3D animation yangu ya kwanza niliyofanya kutumia Blender 3D na Unreal Engine 5. I hope i did a decent job [emoji16]
20220601_195120.jpg
 
unasafari ndeeefu sana ya kwenda....anyway goood job for the first step uliyoichukua.... stay focus and ujifunze zaidi! si dhambi tazama kazi za watu ili kuboresha za kwako!!!!
 
Kazi nzuri tunasubiria ndefu za 1 minute
 
Back
Top Bottom