namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 747
Nimeangalia video zake kadhaa, mfano Daraja la Kijazi-Ubungo, Eco-Village Kigamboni, Makumbusho n.k.
Afanyie kazi haya;
1. Anachapia kiingereza(ajifunze lugha hiyo) utadhani ni Watanzania pekee ndio wanaangalia.
2. Hana mtiriri mzuri wa maelezo yake.
3. Hayupo sensitive kueleza/kutaja vitu.
4. Kutembea muda mwingi na kuhema hema kama anakimbizwa.
5. Presentation na mavazi yasiyoendana na maudhui/mahala husika.
ANGALIZO:
Atazame Youtuber maarufu kutoka Ghana (Ghanan Boy-Wode Maya) atajifunza kitu na kuwa bora zaidi ya sasa.
Povu Ruksa.