Kiplayer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,355
- 2,232
Kwa kiasi kikubwa kwenye mechi za hivi karibuni Djigui Diarra ameanza kutoa ushuhuda wa sifa alizopewa wakati wa usajili wake. Screen protector, mdaka mishale, mdaka mabomu na na sifa zote niliona wanampa promo! Nathubutu kusema kwa sasa bila yeye Yanga wasingeweka gap Hilo la point kwenye ligi.