Ni movie inahusiana na jamaa ambaye ni mstaafu wa jeshi anajikuta anamsaidia bidada mrembo ambaye alikuwa kwenye Hali mmbaya ambaye hamfahamu.
Bidada huyo hana kumbukumbu kwa kile kilichomtokea...
Simulizi : C.O.D.EX. 1
Mwandishi : TARIQ HAJI
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
C.O.D.EX. 1 ................... SEHEMU YA 1
Allen James ni jina langu, ni dereva wa taxi katika jiji moja maarufu...
Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian aitwaye North amesema kama akiulizwa aishi na nani basi ni bora aishi na baba yake kuliko mama yake, tena atachagua hivyo hata akiulizwa mara elfu moja...
Wakuu naombeni mnisaidie application yoyote ile ambayo naweza kudownload movies maana kuna movie au tamthliya naitafuta inaitwa orphan of a nation so nataka niidownload aisee
Mwaka 2014 na 2015 ulikuwa ni wakati wa dhahabu kwa mashabiki wa burudani nchini Tanzania, hasa wale waliopenda muziki na sanaa ya uchezaji. Mashindano ya Dance Mia Mia yaliyokuwa yakirushwa...
Ningependa kuona nyimbo nyingi za zamani ambazo zilitamba na hazikuwa na video zikitengenezewa video. Mad Ice ni kama kashoot video na kama kurudia kuimba wimbo upya, sound ya audio sasa hivi...
Wapendwa hivi shalo tina tina maana yake nini?
Nimekuwa nikisikia haka ka msemo bila kufanikiwa kujua maana yake. Maeneo nilipo sikia ninapokumbuka ni kwenye baadhi ya mashairi ya nyimbo za...
SURA YA KWANZA
Makaburi ya mashujaa wa vita vya dunia, Kijijini Mahiwa, Lindi.
Kadamnasi ya watu walikuwa wamekusanyika wakiwa wamejikunyata vikundi vikundi. Nyuso zao zimegubikwa na majonzi na...
Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na...
JISOO and ZAYN Team Up for Emotional New Single “EYES CLOSED”
K-pop and pop music fans have a reason to celebrate: JISOO and ZAYN have finally teamed up for their first-ever collaboration, “EYES...
Hadhira ambayo ilikusanyika kutazama filamu katika Ukumbi wa La Plata huko Argentina walipata zaidi ya walichokilipia wakati wa kutazama filamu ya Final Destination: Bloodlines.
Katika hali ya...
Bob Marley na wailers wamesahidia kuufanya muziki wa reggae kuwa mkubwa na pendwa duniani kwa kuubiri upendo, ukombozi na ukweli.
Msanii gani wa reggae kakushawishi kupenda au kufuatilia mziki wa...
Devil’s family(familia ya mashetani) 01
angalizo: kama upo chini ya umri wa miaka 18. Tafadhali usisome hii hadithi.
Kila kilicho andikwa katika hadithi hii ni utunzi hakiendani na kisa chochote...
Mitaa imeshkuta sio sauti tu kibunda nacho kipo.
Sio Abdul Nondo wa ACT, hapana, wanaweza wakawa wanajuana, ila sio huyo, ni Dully mwenyewe.
Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"
Pole sana Ferre Gola kwani kila ukijitahidi kumkimbiza na kumkuta Mpinzani wako Fally Ipupa tokea mkiwa Waimbaji na Wanenguaji wa Kiume wa Koffi Olomide unakuta ameshafika mbali Kimuziki muda...
Who's your favourite person to play the character of Hercules for God Of War series.
1. Triple H
2. Uncle Snoop
3. Kanye West
4. Hulk Hogan
5. Rambo
6. Van Damme
7. Liam
8. Jack Chan