Uzi Maalumu Wa Kujikumbusha Nyimbo Mbalimbali Za Xmas Pamoja Na Wasanii Walioimba Nyimbo Hizo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,692
Ni wakati wa kupeana kumbukumbu za furaha na faraja za nyimbo nzuri za Noeli sambamba na waimbaji wake

Itapendeza pia kuweka na mashairi ya nyimbo & picha zao ili iwe rejea kwa wengineo

Mimi naanza na nyimbo zifuatazo.

1. An old Xmas card - Jim Reeves
2. Silver Bells - Jim Reeves
3. Silent Night - Jim Reeves
4. Blue Christmas - Skeeter Davis
5. Darkness is Falling - Boney M
6. Zion's Daughter - Boney M
 

Attachments

  • images (14).jpeg
    images (14).jpeg
    34.2 KB · Views: 7
  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    7.6 KB · Views: 4
  • images (12).jpeg
    images (12).jpeg
    7.7 KB · Views: 4
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    22.2 KB · Views: 4
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    34.7 KB · Views: 5
Shari martin & Tana river choir... Hii ni album long time enzi za cassette,
Ukiingia YouTube utakuta nyimbo chache za Shari
 
Nyimbo zipi za kiswahili ambazo wadau mnazifahamu nijaribu kuzitafuta ukitoa zile za Baba Gaston?
 
"Jim Reeves" mama alishawai niambia anaitwa Jim Luis dah nmemtafuta San sijapata



Asante sana mleta uzi ,,
 
Kama kuna mtu anahitaji nyimbo za Krismasi au album yeyote yenye nyimbo za Krismasi namkaribisha PM
 
Nyimbo zipi za kiswahili ambazo wadau mnazifahamu nijaribu kuzitafuta ukitoa zile za Baba Gaston?
Barua ya Krismasi ~ VIJANA JAZZ BAND
Christmas ~ DDC MLIMANI PARK ORCHESTRA
Christmas ~ ORCHESTRA SAFARI SOUND
Christmas Na Mwaka Mpya ~ SIMBA WANYIKA
Christmas Njema ~ ALICIOS
Christmas Shangilia ~ KAKAI KILONZO
Happy Christmas & New Year ~ THE OROKO SOUNDS
Krismas Oyee ~ MAQUIZ DU ZAIRE
Mwaka Mpya ~ HAMZA KALALA & BANTU GROUP
Noel ~ ORCHESTRA SAFARI SOUND
Noel ~ TANCUT ALMAS ORCHESTRA
Nowele ~ MAQUIS DU ZAIRE
Shangilia Christmas ~ KILIMAMBOGO BROTHERS
Sikukuu ~ BEN POL
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom