Kendrick lamar Mr. Morale and the big steppers is a flop

Kendrick lamar Mr. Morale and the big steppers is a flop

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,204
Reaction score
3,060
Hii Mr Morale and the Big steppers
Imekuwa No morale with a big step down.

Tulikaa tukisubiria kazi kwa miaka mi5 lakini amekuja na album mid.

Haina replay value, ngoma ambazo kidogo ni atleast mule ni N95, We cry together na Rich spirit...lakini hata hizo ni one time listens, hazina replay value.

Niseme ukweli, mimi nilikuwa fan wake sana na nlikuwa kwenye bandwagon ya kusema Kdot ndiye best Rapper alive kwasasa.

ila kwa hii direction aliyochukua imenifanya nianze kumfuatilia Jcole ambaye mwanzo nlkuwa simkubali na nikaja kugundua Jcole ndo the real deal.

For now, for me..Jcole is the best rapper alive.
 
Back
Top Bottom