Sikiliza chrismass song non stop zilizotulia

chazymseri

Senior Member
Oct 28, 2010
139
195
Kwa hapo ukiipenda hope unaweza kuidownload moja kwa moja pia nimeitengeneza inafit kwenye cd inaimba kwa dakika 79:25 hv so unaweza kuburn kwenye cd au kuiweka kwenye flash

http://www.mediafire.com/?b60h6ya0p4155i1

Hebu kama unapenda kudance sikiliza na hii mwanzo mwisho kwa kucheza kama mtu wa kuparty basi hii iko poa
 

chazymseri

Senior Member
Oct 28, 2010
139
195
Nashindwa kuelewa nini kinatokea upande wako kwani link nimeiacha wazi kwa yeyote aweze kudownload hata ile ya xmass hukuweza kudownload? Huwa nafahamu hii link ingekupa option 2 yakusikiliza na kudownload natazama tena nione tatizo nini nitakujulisha kk
 

chazymseri

Senior Member
Oct 28, 2010
139
195
Minakushauri kama unabando ya kutosha ukifungua hiyo link moja kwamoja inakuletea page ya kudownload
Bonyeza kitufe cha kudownload hakikisha una mb 120 hivi kwani hiyo ni nostop ina mb 109 hv so kuwa kwenye safe side bora kuwa na mb nyingi kidogo kwani ikianza kudownload hata ikifika nusu kama utaishiwa na bundle hutaweza kuisikiliza tena na mb zitakuwa zimepotea njia nyingine nzuri ni kutumia computer
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom