Ifike pahala huyu jamaa wamuache apumzike maana kwa mambo yanayoendelea sasa ni kumkosea adabu bondia bora wa muda wote na wa vizazi vyote Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior ...
ENRIQUE IGLESIAS VS ED SHEERAN.
Hero vs Perfect.
.
Your my number one vs Thinking out loud.
.
Bailando vs Shape of you.
.
Takin back my love vs Heartbeat.
.
Why not me vs photograph.
.
Some...
Wakuu habari za mda leo nimeleta mada hii tujadili kwamba tangu ujio wa microgenre mpya ya hiphop 2016 iliyoanzishwa na future, Gucci mane na chiefkeef iliyo kwenye trap genre hiphop style na...
Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu...
Kama mdau wa soka jana nilifuatilia na kufurahia sana sherehe ya wana-simba ambayo kiuhalisia ni tukio waliolianzisha miaka kadhaa iliyopita na linaloendelea kukua mwaka hadi mwaka. Si ajabu pia...
Hii ni kwa mujibu wa wavuti rasmi ya warner bros.
hii inaifanya kuwa filam ya kwanza kutengenezwa na mwanamke kuingiza
kiasi hicho cha pesa.
source:cnn
Nakumbuka kipindi hicho tunaangalia Rocky ya Rambo na huku tukijifunza kurukiana mateke baada ya kuangalia bloodsport ya van damme.
Ilikuwa ukitoka kuangalia commando ya arnold na wewe unaenda...
Morogoro ni mji WA vipaji na vituko kila siku toka enzi Za afande sele , o. Ten, stamina , Jack simela r. I. P no wengineo taja wasanii wengine WA morogoro tuwape shout out apa Kwa uwepo wao
Hapa nimeshangazwa na ujasiri wa Dj aliye zamu leo RFA maana anapiga nyimbo za mixtape za Anti Virus live live ni matusi matusi tu.
Kama hamtaamka na barua ya TCRA asubuhi Mungu yupo nanyi...
Yamenikuta Kama yaliyotokea kwenye hz movie. Dhadkan upande wa sunnly shet Tere ma'am. Darr.upande wa sharukhan. Dil karshta upande wa Arjun rampal n hvo tu
Kiongozi na mwimbaji mkongwe wa bendi ya 'Twanga Pepeta' luiza Mbutu amefunguka na kuonyesha kukerwa kwake na tabia ya baadhi ya wasanii wa filamu na bongofleva wanaojihusisha na skendo za...
SEHEMU 1
Hapo zamani za kale enzi za akina nabii mfalme Daud huku Israel kulikuwepo na nabii mmoja kwenye himaya ya Uingereza aliyekuwa akijulikana kwa jina la nabii Johnson Petersburg (45)...
Kisiasa na kijamii, Je, ujumbe huu wa Maalim Nash una reflection yoyote kwenye maisha ya Tanzania kwa sasa?
Sikiliza kuanzia mwanzo hadi dakika ya 1:30
-Kaveli-
"Mariano Mariano nilikua nampango mmoja ,nikaingia kwa benk nikashika risasi nikasema lala chin bas mm uyo basi mm uyo nikaubeba mzigo naendesha gari na zinanyesha kama mvu"
Kma nmekosea...
Je, wajua "The Gods must be Crazy Movie"
Muigizaji mkuu wa "The Gods Must Be Crazy", N!xau Toma, alilipwa $300 pekee, ingawa filamu iliyotayarishwa mwaka wa 1980 ilitengeneza zaidi ya $200...
Nisipoteze muda, moja kwa moja kwenye mada.
Beat hiyo hapo chini kwa wajuzi unaweza kusikiliza na kutoa feedback, wapi hapako sawa, wapi na nini kimevuruga, nini niongeze na nini nipunguze nk...