Best of James Cameron movies

Best of James Cameron movies

AlexProsper

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2022
Posts
3,415
Reaction score
6,285
Wakuu hii ndo list ya movie za zilizoandaliwa na director mkali James Cameron
[emoji419]avatar:the way of water
[emoji419]true lies
[emoji419]titanic
[emoji419]avatar
[emoji419]entourage
[emoji419]aliens
[emoji419]Saturday night live
[emoji419]point break
[emoji419]the terminator
[emoji419]terminator 2:judgement
[emoji419]alita :battle angel
[emoji419]apollo 13
[emoji419]Pacific rim
[emoji419]terminator:dark fate
[emoji419]the shape of water
[emoji419]terminator genisys
[emoji419]gravity
[emoji419]blue steel
[emoji419]strange day
[emoji419]dark angel
[emoji419]escape from New York
[emoji419]spawn
[emoji419]frailty
[emoji419]mythbusters
......................
1683825683319.jpg

Ongeza nilizo zisahau

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa mkali sana ninachomkubali hetales his time na movie zake karibu zote ni revolutionary, nafanya mapinduzi kwenye industry kila kukicha...

Maandalizi ya "The Way of Water" ilichukua zaidi ya miaka 10, walitaka kuirelease mapema lakini kutokana na Corona wakaona hawataweka kufanya theatrical releases.
 
Mkuu if umezipangilia kwa ranks,hapo ianze titanic,judgement day inafuata .
Huyu jamaa ni hatariii kabisaa
 
Jamaa mkali sana ninachomkubali hetales his time na movie zake karibu zote ni revolutionary, nafanya mapinduzi kwenye industry kila kukicha...

Maandalizi ya "The Way of Water" ilichukua zaidi ya miaka 10, walitaka kuirelease mapema lakini kutokana na Corona wakaona hawataweka kufanya theatrical releases.
Yeah jamaa mkali sana

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom