Huyu actress kanisurprise kiukweli

Huyu actress kanisurprise kiukweli

Troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,810
Reaction score
40,562
Nilianza kumuona kwenye saga maarufu za fast & furious. Bt sikumtilia mkazo sana maana nilikuwa kama namuona mzembe mzembe fulani hivi.

Siku ya jana ndio nikadaka movie moja inaitwa "Army of thieves" Wakati nawekewa sikuitilia mkazo sana niliona tu acha nikapoteze potezee muda. Maana aliyenipa hakuwa na movie nyingi na nyingi nilishaziona alizokuwa nazo yeye.

Sasa kiukweli nimeona anajua sana maana yeye ndiye alikuwa muhisika mkuu. Ukiondoa kuwa ni pisi kali😄 Ila movie kwangu nimeona kaitendea haki. Hata kwenye kipande kidogo cha kutumia mkono hakuniangusha.

Movie inahusu wizi wa kutumia akili. imetoka mwaka juzi 2021.

547411a62e0146f47fbb2c11dcd2a099.jpg

Ikabidi nimgoogle kujua movie zake nyingine, nikakutana pia na "Maze runner".

Anaitwa Nathalie Emmanuel.

three_ways_nathalie_emmanuel_styles_her_3c_curls_feature.jpg
 
Nita pita nayo hii nijionee! Vp lakini haina mnyanduano maana hawa jamaa muvi zao sikuizi huwezi kuangalia na wakwe
Haina mkuu. movie nyingi siku hz naona hazina sio kama za zamani
 
Nita pita nayo hii nijionee! Vp lakini haina mnyanduano maana hawa jamaa muvi zao sikuizi huwezi kuangalia na wakwe
Yaah ni nzuri mkuu hasa kama unapenda movie za akili kidogo. ila haina ngumi sana wala racing.
 
Nilianza kumuona kwenye saga maarufu za fast & furious. Bt sikumtilia mkazo sana maana nilikuwa kama namuona mzembe mzembe fulani hivi.

Siku ya jana ndio nikadaka movie moja inaitwa "Army of thieves" Wakati nawekewa sikuitilia mkazo sana niliona tu acha nikapoteze potezee muda. Maana aliyenipa hakuwa na movie nyingi na nyingi nilishaziona alizokuwa nazo yeye.

Sasa kiukweli nimeona anajua sana maana yeye ndiye alikuwa muhisika mkuu. Ukiondoa kuwa ni pisi kali😄 Ila movie kwangu nimeona kaitendea haki. Hata kwenye kipande kidogo cha kutumia mkono hakuniangusha.

Movie inahusu wizi wa kutumia akili. imetoka mwaka juzi 2021.

View attachment 2497676

Ikabidi nimgoogle kujua movie zake nyingine, nikakutana pia na "Maze runner".

Anaitwa Nathalie Emmanuel.

View attachment 2497677
Na ndio kumbe yupo kwenye game of thrones 😍😍
 
Back
Top Bottom