Uzi wenye SHAIRI

Uzi wenye SHAIRI

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,816
Wakuu salama,

Katika pitapita ya nyuzi mbalimbali kuna uzi fulani siukumbuki ila kuna mdau alikoment audio yenye hili shairi, hili shairi nimelisikiliza mara nyigi sana na lina ujumbe mzuri sana.

Naomba yule aliyeweka hili shairi anisaidie kupata mashairi zaidi ya huyu jamaa, au hata nkipata jina lake huyu mshairi nitashkuru.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom