Ishi ukiamini ipo siku hautapata nafasi hiii unayo sasa, leo wewe mdada unaweza kukaa na na nguo yoyote beach ukiogelea ipo siku utazeeka hautaweza.
Leo unavaa nguo yoyote vimini nk kuna siku...
Amani iwe juu yenu wana wa Mungu.
Nina miezi kama mitatu sasa, nyimbo za wahusika zimekuwa zikijirudia katika orodha ya nyimbo ninazosikiliza mara nyingi.
Papi Clever na Dorcas ni wanandoa...
Kumekuwa na tabia ya wasanii wa singeli kuimba kauli tata na watu kuchukulia poa.
Mfano unakuta mwanaume anaimba “mume wa mtu sumu ila kwangu mtamu” hivi hii iko sawa kweli?
Kwanini mamlaka...
Serikali inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya filamu nchini kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania ambao miongoni mwa wanufaika wa mfuko huo ni wasanii wa filamu ili kuboresha kazi...
Kwa wale wazee wenzangu, vijana wa miaka ile, naomba mniwekee track izi kama mtakua Nazi
1.GADO ...ZAY B FT INSPECTOR HARUN
2.MTULIZE...MABAGA FRESH FT NATURE
3. KOSA LA MAREHEMU....ORIGINAL...
Mimi ni muumini wa hip hop haswa zinazoelezea ukweli mchungu katika maisha haya. Moja ya ngoma zinazoelezea maisha kwa uhalisia ni Hii hapa ya Jay z na mr hudson.
Moja ya ukweli mchungu ni kwamba...
hizi ndizo nyimbo bora 20 za mapenzi zaa majuu ....kama umekubali gonga like kama unapinga hebu sema ipi itolewe na ipi iwekwe
20. Soledad by Westlife
19. My heart will go on by Celine dion...
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa Misri. Baada ya trailer hiyo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikuwa...
Wakati umaarufu wa muziki wa Afrobeats ukiendelea kukua duniani kote, Mtandao wa Spotify umezindua jukwaa jipya ambalo litakuwa na habari zote za Wasanii na Maendeleo katika aina hiyo ya Muziki...
Ni nchi gani hapa ulimwenguni inaongoza kwa utoaji wa seasons/series kali kuliko nchi nyingine?
Je, nchi hiyo ni _______. ?
1. MAREKANI
2. INDIA
3. CHINA
4. UTURUKI
5. KOREA
6. UFILIPINO
7. TAIWAN
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ametoa wito kwa vijana pamoja na watu wenye hamasa kujifunza kazi ya filamu nchini wajitokeze kupata mafunzo ya filamu...
1.Wanamuziki waliokuwa wakipiga muziki kwenye meli ya titanic, waliendelea kupiga muziki kwa saa moja Toka meli ilipoanza kuzama.
2.Gharama za kutengeneza Movie ya Titanic Ni Kubwa kuliko...
1. Money Heist Season 1 - 4
2. Ozark Season 1- 3
3. Sex Education Season 1 – 2
4. Power Season 1- 6
5. The Mentalist Season 1 - 7
6. Altered Carbon Season 1 - 2
7. A Million Little Things Season 1...
Giving all the love I feel for you
Couldn't make you change your point of view
You are leaving
Now I'm sittig' here, I'm wasting my time
I just don't know what I should do
It's a tragedy for me to...